STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,247
Usione Wanaume wanakopa mamikopo makubwa
wanaishia kununua magari ukadhani wanapenda... Hali imekuwa tete siku hizi..Ukiwa na Gari una asilimia 75
za kumpata demu.. Umeenda Samaki Samaki
umemkuta Demu mzuri,ukaanza kupiga
ndogondogo,kila akimaliza unamzungushia round za HEINEKEN basi demu akaanza kukuelewa anajua
Yess..Kapata bonge la bwana,danga si ndo hili!! Basi
umejishaua mwenyewe umeclear Bili kwa
mbwembwe. Umefika muda wa kuondoka demu
ameanza ku-IMAGINE jinsi atakavyoweka Kishoka
kwenye MURANO...KLUGER...PRADO...Akikuangalia mashauzi yako ya kuagiza Drinks,ulivyoulamba na
unavyonukia Paco Rabanne anajua ukikosa saaana
basi kuna SUBARU au XTRAIL imepaki nje...Basi
mmesimama kuondoka demu anasubiria aone kile ki-
ALARM cha mlango wa gari CHWIII CHWII
anashangaa unazidi kuyoyoma kuelekea geti la SAVEI...Anahisi anaota mara anashangaa unapiga
mluzi,"PSSSIIII PSSIIII WEE BAJAJIII SIMAMAA"
Mashauzi yote yale kumbe na wewe unaning'iniza
miguu nje kama yeye? Basi ule muda wewe
unabishana Bei na Dereva wa Bajaj na demu nae
anakutafutia SABABU...Ile unamuita BABE PANDA TWENDE,anakujibu "Babe Mama kanitext hapa kuna
mzigo nikachukue nipeleke kwa BAMDOGO
UBUNGO....Shenzi..Mtu mshahara laki 6 lakini ana
boooonge la Mkopo ili tu anunue VEROSSA ya
kung'olea mademu..