kichwamaji3234
Member
- Sep 2, 2022
- 8
- 8
1. Utangulizi
b) Social Influencer
Mfano: Wasanii wa muziki, wachekeshaji, watangazaji, viongozi wa kidini, wachungaji, mashehe, n.k
MIFANO KUTOKA KWENYE BAADHI YA MITANDAO YA KIJAMII
Mfano wa ukurasa wa muuza nguo, picha hisani ya Для просмотра нужно войти или зарегистрироваться
4. Matumizi ya Juu (Advanced)
a) Kufanya biashara za kimtandao (Online trading)
Kupitia simu yako ya mkononi unaweza kufanya biashara kwa njia ya mtandao. Kuna biashara nyingi sana katika ulimwengu huu ambazo zinafanyika kwa njia ya mtandao.
i. Kuuza vitu kupitia maduka ya mitandao
Unaweza kutumia simu yako kuwa wakala wa kuuza bidhaa mbalimbali kutoka kwa wazalishaji kwa kutumia simu yako. Mfano wa maduka ya mtandaoni ni AlliExpress, Ebay, Amazon, Shopify, Kikuu, Jumia kwa kutaja machache. Unaweza kufanya biashara hii na ikakupatia kipato kizuri tu.
ii. Kununua na kuuza fedha za kigeni
Unaweza pia kuanza kufanya biashara za kuuza na kununua fedha za kigeni , kununua na kuuza hisa, na kuuza na kununua safaru za mtandaoni (cryptocurrency). Haya yote huweza kufanyika kwa njia ya mtandao ambapo biashara hii unaweza kuifanya ukiwa nyumbani kwa kutumia simu yako bado ikakupatia kipato kizuri
b) Kufanya kazi
Binafsi nimeanza kumiliki simu ya mkononi mwaka 2005, naikumbuka vizuri simu hiyo ilikuwa ni kutoka kampuni ya Motorola ndogo ndogo hivi yenye rangi ya Bluu na Nyeusi. Tangu nilipoanza kumiliki simu ya mkononi nilikuwa najiuliza mara kwa mara iwapo matumizi ya simu ni kupiga, kupokea, kutuma jumbe fupi, kutumia mtandao wa intaneti, kufanya miamala, na kutembea mitandao ya kijamii tu. Nilijiuliza Je, siwezi kutengeneza pesa kutumia simu ya mkononi?
2. Simu ni Ofisi
Maendeleo ya Sayansi na Teknolojia yamefanikisha utengenezaji wa Simu Janja ambazo zimekuwa na uwezo mkubwa wa kufanya mambo mengi sana sawa sawa na kompyuta za kawaida. Simu hizi zinaweza kutumika katika kukuingizia kipato na kuifanya simu kuwa ofisi yako.
Unaweza kujiuliza Je, Simu inawezaje kuwa ofisi yangu? Hii inawezekana kwa matumizi ya kawaida (normal) na yale ya juu (advanced)
3. Matumizi ya Kawaida (Normal)
a) Kutangaza na Kuuza Bidhaa au Huduma mbalimbali
Unaweza kuitumia simu yako katika kutangaza na kuuza bidhaa au huduma mbalimbali unazotoa kwenye mitandao ya kijamii. Kupitia mitandao ya kijamii kama vile Facebook, Instagram, YouTube, Twitter, JamiiForums, TikTok WhatsApp, Telegram kwa kutamka mitandao michache tu. Yote hii inaweza kutumika katika kuchapicha bidhaa na huduma unazotoa.
Mfano: Mtengeza vikabu, fundi cherehani, muuza nguo, msusi, kinyozi, dereva tax, mchoma chips, bodaboda hata MC, hawa wote wanaweza kutumia kurasa (pages) zao na makundi (groups) waliojiunga katika mitandao ya kijamii kuchapisha huduma wanazotoa kupitia picha na video fupifupi zilizopigwa kwa simu hizo hizo wanazomiliki. Lakini pia wanaweza kuchapisha katika 'STATUS' zao za kurasa za WhatsApp. Kwa kufanya hivi wanaweza kutangaza bidhaa na huduma zao na kujipatia wateja wengi sana.

Mtumiaji wa simu Janja pia anaweza kuitumia kwa kuwa mshawishi wa kijamii 'social influencer' katika kurasa zao wanazofungua. Kupitia ukurasa wako unaweza ukawa unachapisha mambo mbalimbali ambayo yanaihusu jamii na hivo kupata wafuatiliaji 'followers' wengi .Hii inaweza kukufanya kupata umaarufu na hivyo makampuni kadhaa yakaanza kukupatia mkataba wa kutangaza bidhaa zao kupitia kurasa zako. Na hivyo kujipatia kipato kupitia mikataba hiyo.
Mfano: Wasanii wa muziki, wachekeshaji, watangazaji, viongozi wa kidini, wachungaji, mashehe, n.k
MIFANO KUTOKA KWENYE BAADHI YA MITANDAO YA KIJAMII
Mfano wa ukurasa wa msawishi wa kijamii 'social influencer' mchekeshaji : Picha kwa hisani ya katarina karatu (@katarina_karatu) • Instagram photos and videos
Mfano wa ukurasa wa msusi: Ester Saloon -MOSHI (@ester_msusi) • Instagram photos and videos
Mfano wa ukurasa wa muuza nguo, picha hisani ya Для просмотра нужно войти или зарегистрироваться
4. Matumizi ya Juu (Advanced)
a) Kufanya biashara za kimtandao (Online trading)
Kupitia simu yako ya mkononi unaweza kufanya biashara kwa njia ya mtandao. Kuna biashara nyingi sana katika ulimwengu huu ambazo zinafanyika kwa njia ya mtandao.
i. Kuuza vitu kupitia maduka ya mitandao
Unaweza kutumia simu yako kuwa wakala wa kuuza bidhaa mbalimbali kutoka kwa wazalishaji kwa kutumia simu yako. Mfano wa maduka ya mtandaoni ni AlliExpress, Ebay, Amazon, Shopify, Kikuu, Jumia kwa kutaja machache. Unaweza kufanya biashara hii na ikakupatia kipato kizuri tu.
ii. Kununua na kuuza fedha za kigeni
Unaweza pia kuanza kufanya biashara za kuuza na kununua fedha za kigeni , kununua na kuuza hisa, na kuuza na kununua safaru za mtandaoni (cryptocurrency). Haya yote huweza kufanyika kwa njia ya mtandao ambapo biashara hii unaweza kuifanya ukiwa nyumbani kwa kutumia simu yako bado ikakupatia kipato kizuri
b) Kufanya kazi
Kupitia simu yako unaweza kufanya kazi kwa njia ya mtandao. Kipindi cha janga la Korona kuna baaddhi ya makampuni yaliwaruhusu watu wafanye kazi wakiwa nyumbani. Wengi walikuwa wanatumia Kompyuta au simu janja kwa kazi ndogo ndogo
Lakini pia kuna makampuni ambayo yanaajiri watu kwenye mitandao, ambapo unaweza kuwa unafanya kazi kama vile ya utafiti (survey), kwa kutumia programu tumishi (apps) au tovuti ambayo utaitumia kukamilisha kazi na mwisho wa siku unalipwa senti kadhaa za Kimarekani. Mfano wa makampuni ni Pickworkers, Freelancer.com, Toloka, Talent Desire, Flex Job na TopTal kwa kutaja machache. Pia kuna watu wanafanya kazi za kucheza michezo ya kubahatisha (Betting) na wanapata pesa nyingi sana. Hizi kazi zote zinaweza kufanyika kupitia simu janja yako ukiwa nyumbani.
c) Kufanyakazi ya Blogi au Programu Tumishi (App) yako. Lakini pia kuna makampuni ambayo yanaajiri watu kwenye mitandao, ambapo unaweza kuwa unafanya kazi kama vile ya utafiti (survey), kwa kutumia programu tumishi (apps) au tovuti ambayo utaitumia kukamilisha kazi na mwisho wa siku unalipwa senti kadhaa za Kimarekani. Mfano wa makampuni ni Pickworkers, Freelancer.com, Toloka, Talent Desire, Flex Job na TopTal kwa kutaja machache. Pia kuna watu wanafanya kazi za kucheza michezo ya kubahatisha (Betting) na wanapata pesa nyingi sana. Hizi kazi zote zinaweza kufanyika kupitia simu janja yako ukiwa nyumbani.
Kwa kutumia simu janja yako ambayo inauwezo wa kufanya kazi kama kompyuta, unaweza kumiliki blogi yako ambayo unaweza kuichapisha mtandaoni na kuwashirikisha watu na kupata watembeaji weji sana. Kupitia hii blogi unaweza kuomba matangazo ya kibiashara katika kurasa za blogi yako kutoka makapuni ya matangazo kama vile: Google Adsense, Media.net au Propellera Ads. Haya matangazo kupitia watembeleaji wako wa kwenye blogi utakuwa unajipatia kiasi cha pesa kwani utakuwa nawe ni wakala wa kutangaza matangazo ya watu ya kibiashara kutoka katika kampuni waliokupatia mkataba.
Pia kupitiasimu yako unaweza kumiliki Programu tumishi (App) ambayo utaweza kupata kipato kwani utakuwa unawashirikisha watu wengi ambao wao watakuwa wameipakua na kuitumia wanaitumia kupata taarifa au huduma mbalimbali. Hivyo wakiwa wanaitumia wakiwa wameunganishwa na mtandao, watakuwa wanaona matangazo ambayo yanajitokeza na wao wakiwa wanayabofya utakuwa unapata fedha kama ilivyo kwenye blogi. Kwani hapa pia utakuwa umeomba kuwa wakala wa matangazo kwa makampuni kama Facebook, Mopub au Admob.
Kwa matumizi haya ya Simu Janja unaweza kuifanya ikawa ni ofisi yako na hivyo kujiajiri huku ukiwa nyumbani bila kutoka. Pia unaweza kuitumia kukuongezea kipato kwa kutangaza huduma na biashara unayouza.

Upvote
3