KHM 1995
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 461
- 729
Teknolojia katika field ya afya ni msingi katika muktadha wa afya ya kiumbe chochote kilicho hai hasa binadamu tutakaye mzungumzia zaidi.
HIV ni janga duniani lakini inapaswa tufahamu teknolojia ndio itayoleta mwanga wa kupambana na hiki kirusi, lakini kuna baadhi ya wanyama kirusi hakiwezi kuwaletea athari yoyote kutokana kinakuwa specific katika specific cell, kwa maana HIV anakuwa targeted, anatumia CCR5 receptor na CD4 receptor kwenda kuattack kinga za mwili, ili akaji multiply.
Now solution ni kumdhibiti afeli kutumia udhaifu wa CCR5 na CD4 receptor kama njia ya kushambulia kinga za mwili, eidha tubalishe shepu na muundo wa hizi receptor aweze kufeli kupita, na kama tunavyo fahamu genetic code inafanana kwa viumbe vyote, hapa tunasolution ya kutumia elimu ya biotechnology hasa katika field ya gene cloning.
Lakini itabidi tutafuta species ambaye hawezi kuwa infected with HIV,lakin kuna wanyama kama ng'ombe hawezi kuwa infected ,kwahiyo technically tutafanya gene extraction specifically kwa ile inayohusika na expression ya receptors za CCR5 na CD4,baada ya hapo itabidi tufanye gene cloning, baada ya hapo ,itabidi tucheze na genome ya binadamu,tufanye gene deletion tufute ile inayofanya expression ya receptor za CCR5 na CD4, then tuinsert gene tuliyo extract kwa ng'ombe kwenye DNA sequence ya binadamu,surely dunia lazima ishinde,tunaamini kile kinachaofanya huyu virus afeli kuleta infection kwa ng'ombe ni shepu na muundo wa receptor za CCR5 na CD4 kuwa tofauti kabisa na zile za binadamu kwa hiyo anakuwa hana uwezo wa kuweza kujibind kwenye hizo receptors