KHM 1995
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 461
- 729
- Thread starter
- #21
Ni sawa ila nitaomba kusahihishwa. Je, ukiibadili CD4 ni nini madhara yake kwa binadamu? Ninavyoelewa CD4 ina kazi nyingi mwilini
Fahamu Kwamba CD4 ni protini inayopatikana katika uso wa seli fulani za kinga ya mwili hasa helper T cells,ambapo CD4 basically inatambua na kuitikia vimelea vilivyo nje ya Helper T cells,hasa virusi na bacteria,kwa kifupi hii ni protini inayotumika kama alama ya kutambulisha Helper T cells.inshort hakuna madhara ukifata kanuni vizuri ya kubadilisha pasipo kusabisha athari hasi ya vinasaba vya kiumbe mlengwa,hatubadili kizembe tutafocus na gene inayo express CD4 na receptor yakeNi sawa ila nitaomba kusahihishwa. Je, ukiibadili CD4 ni nini madhara yake kwa binadamu? Ninavyoelewa CD4 ina kazi nyingi mwilini.