Teknologia ya gene cloning na gene editing ni muarobaini wa vita dhidi ya HIV

Teknologia ya gene cloning na gene editing ni muarobaini wa vita dhidi ya HIV

KHM 1995

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2020
Posts
461
Reaction score
729
Teknolojia katika field ya afya ni msingi katika muktadha wa afya ya kiumbe chochote kilicho hai hasa binadamu tutakaye mzungumzia zaidi.

HIV ni janga duniani lakini inapaswa tufahamu teknolojia ndio itayoleta mwanga wa kupambana na hiki kirusi, lakini kuna baadhi ya wanyama kirusi hakiwezi kuwaletea athari yoyote kutokana kinakuwa specific katika specific cell, kwa maana HIV anakuwa targeted, anatumia CCR5 receptor na CD4 receptor kwenda kuattack kinga za mwili, ili akaji multiply.

Now solution ni kumdhibiti afeli kutumia udhaifu wa CCR5 na CD4 receptor kama njia ya kushambulia kinga za mwili, eidha tubalishe shepu na muundo wa hizi receptor aweze kufeli kupita, na kama tunavyo fahamu genetic code inafanana kwa viumbe vyote, hapa tunasolution ya kutumia elimu ya biotechnology hasa katika field ya gene cloning.

Lakini itabidi tutafuta species ambaye hawezi kuwa infected with HIV,lakin kuna wanyama kama ng'ombe hawezi kuwa infected, kwahiyo technically tutafanya gene extraction specifically kwa ile inayohusika na expression ya receptors za CCR5 na CD4, baada ya hapo itabidi tufanye gene cloning, baada ya hapo ,itabidi tucheze na genome ya binadamu, tufanye gene deletion tufute ile inayofanya expression ya receptor za CCR5 na CD4, then tuinsert gene tuliyo extract kwa ng'ombe kwenye DNA sequence ya binadamu, surely dunia lazima ishinde,tunaamini kile kinachaofanya huyu virus afeli kuleta infection kwa ng'ombe ni shepu na muundo wa receptor za CCR5 na CD4 kuwa tofauti kabisa na zile za binadamu kwa hiyo anakuwa hana uwezo wa kuweza kujibind kwenye hizo receptors
 
Moderator naomba muibold tittle yangu ya mada hapo juu
 
ajabu unaweza kuweka mfumo mpya ukawa mwanya mpya kwa kirusi chengine!.
 
ajabu unaweza kuweka mfumo mpya ukawa mwanya mpya kwa kirusi chengine!.
Tunadili na gene inayohusiana na expression ya receptors za CCR5 na CD4,lakin tutaangalia negative effect kabla hatujaitumia teknologia hii kwa binadamu
 
Tunadili na gene inayohusiana na expression ya receptors za CCR5 na CD4,lakin tutaangalia negative effect kabla hatujaitumia teknologia hii kwa binadamu
kwanini ni ngumu sana kupambana na kirusi..?
 
kwanini ni ngumu sana kupambana na kirusi..?
Ni vigumu kupamba na kirusi cha HIV kwasababu zifuatazo
1.vinasaba vyake vinabadilika kwa haraka sana,na kuunda aina mpya ya kirusi,hivyo mfumo wa kinga na dawa zinazotumika kukidhibiti pamoja zinafeli
2.pia zina enda kuattack immune cells,hii inamaana zinaenda kushambulia seli za CD4(T cells),ambazo ni muhimu kwa kinga ya mwili,automatic zikishambuliwa mgonjwa anakuwa katika risk kubwa ga magonjwa nyemelezi.
3.zinamtindo wa kujificha sehemu za mwili baada ya kufanya multiplication,vile baadhi ya virusi vinamtindo wa kujificha sehemu ya mwili then hujitokeza baada ya tiba,kwa hii coincidence inakuwa vigumu kuvifuta kabisa
4.mabadiliko ya kinga ya mwili,kinga ya mwili inajikuta inashindwa kukitambua na kupambana na hiki kirusi kwa ufanisi kutokana na uwezo wa kirusi kubadilisha muundo wake wa protini zake ili kukwepa mfumo wa kinga
5.ukosefu wa chanjo za kudumu,pia hii ni sababu ya msingi,hakuna chanjo ya kudumu kutokana na uwezo wa hiki kirusi kujibadilisha
Asnte mkuu
 
okay kuna hii dhana ya kwamba kirusi hakifi ni ukweli..?
 
okay kuna
okay kuna hii dhana ya kwamba kirusi hakifi ni
hii dhana ya kwamba kirusi hakifi ni ukweli..?

okay kuna hii dhana ya kwamba kirusi hakifi ni ukweli..?
Hii dhana si ya kweli lakini ukweli kirusi cha HIV kinaweza kufa lakini si rahisi kwa mazingira ya mwili ,lakini kinaweza kuharibiwa kwa njia zifuatazo
1.dawa za kuua virusi(disinfectants).chemical kama bleach na pombe (alcohol),vinaua kirahisi sana kirusi hiki cha HIV,endapo kirusi hiki kitakutana na chemical hizi nje ya mwili.
2.mazingira nje ya mwili,pia yanaweza sababisha kirusi kife kwa haraka
,kwasababu mazingira ya nje hayatoi favour kwa kirusi kuishi
 
Back
Top Bottom