Teknolojia isiathiri utu wetu, Polisi Tanzania msifanye kazi kwa mhemko. Trafiki 2 warudi Ofisini haraka

Kwanini unaiita Rushwaa?

Waanze na Big Fish kama they want to solve
Sasa kosa la Polisi hapo ni lipi?

Kwamba wam

Kila kesi ina utaratibu wake katika ufuatiliaji na kutolea majibu.

Kwa hiyo kwa mtizamo wako, polisi wasifanye kazi kwa sasa mpaka wampate aliyemuua Ali Kibao ndio warudi kazini, kuendelea na majukumu mengine?
 
Asante sana . Umeipa jina zuri

Facilitation allowance.

Moja ya kazi ngumu mno ni Utrafic…. Na most of the time watu wanatembea na magar mabovu. Kama trafic wakisema wawe serious wengi hawatoboi

But they understand nchi yenye hohe hae…

Mimi nadhan Polisi wa deal na watu wanaorekedi; hao wawe termed kama wadhalilishaji wa jeshi la polisi

Pia kamanda mkuu ni kama anafanya kaz underpressure ya kutumbuliwq

Kila upuuzi wa social media atataka kuutolea ufafanuzi

Ila ya Ali kibao aaanh
Nondo aanh

Hana confidence na kazi yake
 
Ume tafsiri literally
 
Kabisa
Kila Sekta....Idara....Wizara.....Taasisi....zina makandokando mengi......na woote tunajua......
Kwa hiyo hayo ndio maisha yetu halisi.....
HAO TRAFIC NI kwa UCHACHE TU>>>>>>>WAMEONEWA,,,,,,
 
Only small fishes are netted but big ones are free roaming in the water. There is grand corruption in this country but nothing has been done to stop the vices.
 
Pure facts, roho za wivu zinatutesa sana mtu ukiwa mwingine anacho basi ni mtihani adi mtu unatamani afukuzwe kazi kisa tu huna alicho nacho sasa kweli mtu na akili za kipumbavu unamrekodi trafiki kisa anachukua buku buku duh kazi kweli kweli hivi hawa trafiki wakinyooka kuna mtu atatoka na gari kweli? Kama unatumia gari utaona kabisa kilichofanywa na uyo mpumbavu alie record ni upumbavu wa kimaskini sana sikubariani na jeshi la polisi kuwachukulia hatua polisi wao kwa jambo dogo kama hili, raisi Magufuli aliweka wazi kuhusu haya mambo ya visenti vya bara barani kuwa ni hela za kublashia kiatu pamoja na maji ya kunywa..
 
Wakirekodiwa wengine sawa, ila askari aaaaahh!

Mbona wakirekodiwa wengine kama walimu wakitandika wanafunzi, manesi na madaktari hospitalini huwa mnaona sawa?

Why polisi ndiyo iwe sawa?

Na kwa sasa hawa trafiki watarekodiwa sanaa, maana watu wana simu kali zenye telophoto zoom mpaka ya 100x.
 
Una PhD fake wewe? Yaani traffic police waachwe wale rushwa na kusumbua watu barabarani ! Traffic Police ni kero sana barabarani hasa hawa wanaoshinda barabara kuu mkoani Singida!
Traffic Police wa Mkoani Singida ni vibaka kama vibaka wengine tu!
Wanatunga makosa ya ajabu ajabu wakuandikie faini au wapewe rushwa tu!
Halafu fala wewe unasema wanakusanya fedha/rushwa ya kushinda juani!
 
Are u serious? Rushwa siyo lazima iwe kubwa hata kama ni ndogo ni rushwa tu. Police wakiingia kwenye rushwa kama hizo athari yake ni kubwa mno kwa taifa. No matter what polisi wote waliohusika lazima wachukuliwe hatua Kali .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…