ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,837
- 3,027
We are not interested in this !
Mwamba alisemaga Dhahabu na Gesi TUMEPIGWA 😳🙄😱 !!

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanàachwa wala rushwa mapapa huko wanakamata vidagaa sababu wanaweza kuvionea nilipocheck ile video nimegundua aliefanya vile ni mtu anaewafahamu kaamua kuwachoma sasa maisha yenyewe hayaeleweki wakale wapiNakumbuka Rais wa awamu ya tano JPM aliibariki na kuita posho ya kusafisha viatu,lini baraka hiyo ilitenguliwa? Waachwe wajikimu kazi yao ni ngumu sana.
Rais wa Wanyonge alisemaga mtanikumbuka !Nakumbuka Rais wa awamu ya tano JPM aliibariki na kuita posho ya kusafisha viatu,lini baraka hiyo ilitenguliwa? Waachwe wajikimu kazi yao ni ngumu sana.
Moja ya matukio ya Hovyo ni kuchukua Trafiki video wanapokusanya mapato ya kuchomwa na jua la siku nzima hizi video zinalengo la kudhalilisha Trafic na sio sawa na yeyote mwenye hii Tabia aache… na jeshi la polisi Tz hili lichukuliwe kwenye Taswira ya kudhalilisha jeshi.
Trafic hajawahi kumlazimisha mtu kuchangia mapato ya kuchomwa na jua ! It is your choices ni ulipe fine ya 30,000 au umalizane nae hapo hapo yote ni sawa.
Ni makosa mapato ya kuchomwa na jua yatafsiriwe kama rushwa !! Kama polisi -Tanzania mnataka kweli ku deal na rushwa nendeni kwenye mikataba ya hiyo nchi kama DP World, Mikataba ya madini, Ujenzi wa SGR, ujenzi wa mwendokasi…. Huko ndio kuna Big fish Corruption
Mshahara wa Rais ni 139M ….. ambae 24 hours yupo kwa AC, , mshahara wa mawaziri ni mnono and yet wanapiga deal fake na muda wote wanakula mema ya nchi, watoto wa marais na mawaziri kama kina Abdul ambao hawana history ya nchi…. Wanakula mema na kupiga deal fake…. Goli moja linanunumia kwa 5M na chanzo cha fedha hakijulikana. Polisi yote hayo hamdeal nayo mnaenda ku deal na vi elf mbili mbili wanavopewa trafic kama mapato ya kuchomwa na jua !
Soma Pia: Trafiki wawili wakamatwa baada ya kunaswa kwenye video wakipokea Rushwa hadharani
Polisi TZ acheni mihemko ya kila kitu cha mitandao mkitolee ufafanuzi au ku deal nacho au kuwachukulia hatua watendaji wenu ! Mengine ni hayana msingi dilini na mambo makubwa yanayoikabili nchi kama vile Rushwa zinazofanywa na viongozi wakuu, utekaji n.k
Pamoja na mambo mengine mnatakiwa ku deal na watu wanao rekodi trafic wanapokuwa kwenye majukumu yao ya kukusanya mapato ya kuchomwa na jua, hao watu wakamatwe na wafanywe mfano maana wanadhalilisha watendaji wa jeshi la usalama wa barabarani. HAIKUBALIKI
Otherwise hao trafic warudi Ofisin haraka na ni aibu kamanda mkuuu kusimama kwa media kuongelea mambo kama hayo, ni kukosa weledi
Ni Nani aliyemuua Ali Kibao?
Yupo wapi Ben Saane?
Amekufa au yupo hai; kwenye mila zetu za Kichaga hii damu italipwa kwa namna yoyote mpaka
Mtuletee majivu yake tuyazike with our ritual proceedures or else the game is not over and our hearts are still bleeding
Tunataka kusikia ni nani aliyempiga Tundu Lissu risasi in the government yard ?
Tunataka kusikia Soka yupo wapi ?
Tunataka kusikia wabakaji wa binti wa Dovya wapo wapi ? Tunataka kusikia nani alimteka Nondo?
Hayo ndio majukumu yenu ya msingi
N.K
Hayo mengine ni hayana ishu kwa taifa;
Dr Megalodon, PhD Candidate
WHO Regional Office
Rue 52 , Ottawa
Canada
Pia hakukuonekana pesa kwenye video, wanaweza sema walikuwa aidha wanasalimiana na makondakta au walikuwa wanapewa namba za simu😂😂Wakikutana na Wakili mzuri ile kesi wanashinda asubuhi tu.
Pale hawajasikika wakiomba rushwa! Walikuwa wakiletewa hela na Makonda harafu wanapokea.
Harafu kama ni hivyo hata wale makonda walipaswa kukamatwa na kufikishwa polisi sambamba na hao trafic waliopokea rushwa.
Na ndivyo itakavyokuwa !Pia hakukuonekana pesa kwenye video, wanaweza sema walikuwa aidha wanasalimiana na makondakta au walikuwa wanapewa namba za simu😂😂
Hakuna kesi hapo !Wakikutana na Wakili mzuri ile kesi wanashinda asubuhi tu.
Pale hawajasikika wakiomba rushwa! Walikuwa wakiletewa hela na Makonda harafu wanapokea.
Harafu kama ni hivyo hata wale makonda walipaswa kukamatwa na kufikishwa polisi sambamba na hao trafic waliopokea rushwa.
Waanze na mabig fish kule juu ndio washuke huku chini kwenye vidagaaHahaha kwa hiyo wasishughulikie wala rushwa kisa nchi iko corrupt, lazima wawe na pakuanzia.
😛Kwa hiyo hivyo ndio ulivyojifunza huko Canada?
Huna akili na hiyo PhD itakuwa ya ovyoMoja ya matukio ya Hovyo ni kuchukua Trafiki video wanapokusanya mapato ya kuchomwa na jua la siku nzima hizi video zinalengo la kudhalilisha Trafic na sio sawa na yeyote mwenye hii Tabia aache… na jeshi la polisi Tz hili lichukuliwe kwenye Taswira ya kudhalilisha jeshi.