Teknolojia isiathiri utu wetu, Polisi Tanzania msifanye kazi kwa mhemko. Trafiki 2 warudi Ofisini haraka

We are not interested in this !
Mwamba alisemaga Dhahabu na Gesi TUMEPIGWA 😳🙄😱 !!
 
Nakumbuka Rais wa awamu ya tano JPM aliibariki na kuita posho ya kusafisha viatu,lini baraka hiyo ilitenguliwa? Waachwe wajikimu kazi yao ni ngumu sana.
Wanàachwa wala rushwa mapapa huko wanakamata vidagaa sababu wanaweza kuvionea nilipocheck ile video nimegundua aliefanya vile ni mtu anaewafahamu kaamua kuwachoma sasa maisha yenyewe hayaeleweki wakale wapi
 
Wakikutana na Wakili mzuri ile kesi wanashinda asubuhi tu.
Pale hawajasikika wakiomba rushwa! Walikuwa wakiletewa hela na Makonda harafu wanapokea.
Harafu kama ni hivyo hata wale makonda walipaswa kukamatwa na kufikishwa polisi sambamba na hao trafic waliopokea rushwa.
 
Moja ya matukio ya Hovyo ni kuchukua Trafiki video wanapokusanya mapato ya kuchomwa na jua la siku nzima hizi video zinalengo la kudhalilisha Trafic na sio sawa na yeyote mwenye hii Tabia aache… na jeshi la polisi Tz hili lichukuliwe kwenye Taswira ya kudhalilisha jeshi.

Trafic hajawahi kumlazimisha mtu kuchangia mapato ya kuchomwa na jua ! It is your choices ni ulipe fine ya 30,000 au umalizane nae hapo hapo yote ni sawa.

Ni makosa mapato ya kuchomwa na jua yatafsiriwe kama rushwa !! Kama polisi -Tanzania mnataka kweli ku deal na rushwa nendeni kwenye mikataba ya hiyo nchi kama DP World, Mikataba ya madini, Ujenzi wa SGR, ujenzi wa mwendokasi…. Huko ndio kuna Big fish Corruption

Mshahara wa Rais ni 139M ….. ambae 24 hours yupo kwa AC, , mshahara wa mawaziri ni mnono and yet wanapiga deal fake na muda wote wanakula mema ya nchi, watoto wa marais na mawaziri kama kina Abdul ambao hawana history ya nchi…. Wanakula mema na kupiga deal fake…. Goli moja linanunumia kwa 5M na chanzo cha fedha hakijulikana. Polisi yote hayo hamdeal nayo mnaenda ku deal na vi elf mbili mbili wanavopewa trafic kama mapato ya kuchomwa na jua !

Soma Pia: Trafiki wawili wakamatwa baada ya kunaswa kwenye video wakipokea Rushwa hadharani

Polisi TZ acheni mihemko ya kila kitu cha mitandao mkitolee ufafanuzi au ku deal nacho au kuwachukulia hatua watendaji wenu ! Mengine ni hayana msingi dilini na mambo makubwa yanayoikabili nchi kama vile Rushwa zinazofanywa na viongozi wakuu, utekaji n.k

Pamoja na mambo mengine mnatakiwa ku deal na watu wanao rekodi trafic wanapokuwa kwenye majukumu yao ya kukusanya mapato ya kuchomwa na jua, hao watu wakamatwe na wafanywe mfano maana wanadhalilisha watendaji wa jeshi la usalama wa barabarani. HAIKUBALIKI

Otherwise hao trafic warudi Ofisin haraka na ni aibu kamanda mkuuu kusimama kwa media kuongelea mambo kama hayo, ni kukosa weledi

Ni Nani aliyemuua Ali Kibao?

Yupo wapi Ben Saane?

Amekufa au yupo hai; kwenye mila zetu za Kichaga hii damu italipwa kwa namna yoyote mpaka
Mtuletee majivu yake tuyazike with our ritual proceedures or else the game is not over and our hearts are still bleeding

Tunataka kusikia ni nani aliyempiga Tundu Lissu risasi in the government yard ?

Tunataka kusikia Soka yupo wapi ?

Tunataka kusikia wabakaji wa binti wa Dovya wapo wapi ? Tunataka kusikia nani alimteka Nondo?

Hayo ndio majukumu yenu ya msingi

N.K
Hayo mengine ni hayana ishu kwa taifa;

Dr Megalodon, PhD Candidate
WHO Regional Office
Rue 52 , Ottawa
Canada
 
PASI NI CHEMBE YA SHAKA , WEWE NI TRAFFIC POLICE😂😂
 
Wakikutana na Wakili mzuri ile kesi wanashinda asubuhi tu.
Pale hawajasikika wakiomba rushwa! Walikuwa wakiletewa hela na Makonda harafu wanapokea.
Harafu kama ni hivyo hata wale makonda walipaswa kukamatwa na kufikishwa polisi sambamba na hao trafic waliopokea rushwa.
Pia hakukuonekana pesa kwenye video, wanaweza sema walikuwa aidha wanasalimiana na makondakta au walikuwa wanapewa namba za simu😂😂
 
Na ndivyo itakavyokuwa !
Hata ukiiangalia mara milioni ile video huwezi kuona kama walikuwa wanapeana pesa !
Tunawataka Big fish 🐠 sio small 🎣
 
Mapato ya kuchomwa na jua??? Na mshahara ni ya nini? Kama anaona anachomwa na jua na mshahara haitoshi aache kazi, rushwa ni rushwa tu hata uipe jina gani au hata iwe shingapi.
 
Wakikutana na Wakili mzuri ile kesi wanashinda asubuhi tu.
Pale hawajasikika wakiomba rushwa! Walikuwa wakiletewa hela na Makonda harafu wanapokea.
Harafu kama ni hivyo hata wale makonda walipaswa kukamatwa na kufikishwa polisi sambamba na hao trafic waliopokea rushwa.
Hakuna kesi hapo !
 
Askari usalama barabarani kupenda rushwa imechangiwa na Samia pale aliposema Kila mtu ale Kwa urefu wa kamba zao.kabla ya Samia Hawa askari walikuwa wazalendo kabisa na hawakujihusisha na rushwa hata kidogo.wakushitakiwa ni huyo aliyewaambia wale Kwa urefu wa kamba zao.
 
Huwezi ukamkamata mpokea rushwa ukamuacha mtoa rushwa halafu ukasema kuwa hiyo ni rushwa wakati mtoaji ndiye anayetakiwa kuthibitisha kama aliombwa rushwa na alichokuwa anatoa ndiyo rushwa yenyewe.
 
Traffic wanatusadia Sana barabarani hata kama wanatuandikia notification ni moja ya kazi zao..
Huyo jamaa aliyerekodi video ni mshamba Tu , kuna matukio mengi yanafanyika barabarani lkn hatuna muda wa kijinga WA kurekodi video.

Kama kila kosa wangekuwa wanatupiga faini watu wasingeingiza magari Yao barabarani, mara nyingi traffic wanakuwa watu wema Sana tena sanaa
 
Hivi tukianza na bi kilembwe pale juu kuna mabilioni mangapi yanapotea alafu tuhangaike na trafic?
 
Trafiki hawana mambo mengi
(Wasio trafiki)Polisi wana mambo mengi
Aliyerekodi alitakiwa awarekodi hawa polisi au wanaoitwa wasiojulikana au watekaji
 
Moja ya matukio ya Hovyo ni kuchukua Trafiki video wanapokusanya mapato ya kuchomwa na jua la siku nzima hizi video zinalengo la kudhalilisha Trafic na sio sawa na yeyote mwenye hii Tabia aache… na jeshi la polisi Tz hili lichukuliwe kwenye Taswira ya kudhalilisha jeshi.

Trafic hajawahi kumlazimisha mtu kuchangia mapato ya kuchomwa na jua ! It is your choices ni ulipe fine ya 30,000 au umalizane nae hapo hapo yote ni sawa.

Ni makosa mapato ya kuchomwa na jua yatafsiriwe kama rushwa !! Kama polisi -Tanzania mnataka kweli ku deal na rushwa nendeni kwenye mikataba ya hiyo nchi kama DP World, Mikataba ya madini, Ujenzi wa SGR, ujenzi wa mwendokasi…. Huko ndio kuna Big fish Corruption

Mshahara wa Rais ni 139M ….. ambae 24 hours yupo kwa AC, , mshahara wa mawaziri ni mnono and yet wanapiga deal fake na muda wote wanakula mema ya nchi, watoto wa marais na mawaziri kama kina Abdul ambao hawana history ya nchi…. Wanakula mema na kupiga deal fake…. Goli moja linanunumia kwa 5M na chanzo cha fedha hakijulikana. Polisi yote hayo hamdeal nayo mnaenda ku deal na vi elf mbili mbili wanavopewa trafic kama mapato ya kuchomwa na jua !

Soma Pia: Trafiki wawili wakamatwa baada ya kunaswa kwenye video wakipokea Rushwa hadharani

Polisi TZ acheni mihemko ya kila kitu cha mitandao mkitolee ufafanuzi au ku deal nacho au kuwachukulia hatua watendaji wenu ! Mengine ni hayana msingi dilini na mambo makubwa yanayoikabili nchi kama vile Rushwa zinazofanywa na viongozi wakuu, utekaji n.k

Pamoja na mambo mengine mnatakiwa ku deal na watu wanao rekodi trafic wanapokuwa kwenye majukumu yao ya kukusanya mapato ya kuchomwa na jua, hao watu wakamatwe na wafanywe mfano maana wanadhalilisha watendaji wa jeshi la usalama wa barabarani. HAIKUBALIKI

Otherwise hao trafic warudi Ofisin haraka na ni aibu kamanda mkuuu kusimama kwa media kuongelea mambo kama hayo, ni kukosa weledi

Ni Nani aliyemuua Ali Kibao?

Yupo wapi Ben Saane?

Amekufa au yupo hai; kwenye mila zetu za Kichaga hii damu italipwa kwa namna yoyote mpaka
Mtuletee majivu yake tuyazike with our ritual proceedures or else the game is not over and our hearts are still bleeding

Tunataka kusikia ni nani aliyempiga Tundu Lissu risasi in the government yard ?

Tunataka kusikia Soka yupo wapi ?

Tunataka kusikia wabakaji wa binti wa Dovya wapo wapi ? Tunataka kusikia nani alimteka Nondo?

Hayo ndio majukumu yenu ya msingi

N.K
Hayo mengine ni hayana ishu kwa taifa;

Dr Megalodon, PhD Candidate
WHO Regional Office
Rue 52 , Ottawa
Canada
Huna akili na hiyo PhD itakuwa ya ovyo
 
Back
Top Bottom