baunsamuoga
JF-Expert Member
- Apr 16, 2023
- 398
- 544
Naona kiasi frani wa tz tunabadirika, ukifatilia maoni ya wengi humu wanatetea utu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jumanne mliro katimiza wajibu wake asingeweza kuwaacha huru wakati video imewaonyesha wakichukua rushwa tena kwa Kasi ya ajabu, hao wanaokula billions siku wakionekana live kama hao naamini mliro atawasweka ndani pia tumsaidie kumpelekea evidence kama alivyofanya aliyerekodi video ya traffic, pongezi kwake.🤣🤣🤣 wanaenda kumkamata na kumuweka maabusi mtu anaekula elf 2 wanawaacha watu wanaojiita bongos wa nchi ,wanaokula billions
Mambo ya hovyo kabisa
Kumbe hata wewe uko kwenye karne ya 50 huko?Moja ya matukio ya Hovyo ni kuchukua Trafiki video wanapokusanya mkusanyiko wa kuchomwa na jua la siku nzima video zinalengo la kudhalilisha Trafic na sio sawa na yeyote mwenye hii Tabia aache… na jeshi la polisi Tz hili lichukuliwe kwenye Taswira ya kudhalilisha jeshi.
Trafic hajawahi kumlazimisha mtu kuchangia mchango wa kuchomwa na jua ! It is your choices ni ulipe fine ya 30,000 au umalizane hapo hapo ni sawa.
Ni makosa ya kuchomwa na kutafsiriwe kama rushwa !! Kama polisi -Tanzania mnataka kweli ku deal na rushwa nendeni kwenye mikataba ya hiyo nchi kama DP World, Mikataba ya madini, Ujenzi wa SGR, ujenzi wa mwendokasi…. Huko ndio kuna Big fish Rushwa
Mshahara wa Rais ni 139M ….. ambae 24 hours alipwa kwa AC, , mshahara wa mshahara ni mnono and yet wanapiga deal fake na muda wote wanakula mema ya nchi, watoto wa marais na kama kina Abdul ambao hawana historia ya nchi…. Wanakula mema na kupiga deal fake…. Goli moja linanunumia kwa 5M na chanzo cha fedha hakijulikana. Polisi yote hayo hamdeal nayo mnaenda ku deal na vi elf mbili mbili wanavopewa trafic kama ya kuchomwa na jua !
Soma Pia: Trafiki wawili wakamatwa baada ya kunaswa kwenye video wakipokea Rushwa hadharani
Polisi TZ acheni mihemko ya kila kitu cha mitandao mkitolee ufafanuzi au ku deal nacho au kuwachukulia hatua watendaji wenu ! Mengine ni hayana msingi dilini na mambo makubwa yanayoikabili nchi kama vile Rushwa zinazofanywa na viongozi, utekaji nk.
Pamoja na mambo mengine mnatakiwa ku deal na watu wanao rekodi trafic wanapokuwa kwenye majukumu yao ya kukusanya mkusanyiko wa kuchomwa na jua, hao watu wakamatwe na wafanywe mfano maana wanadhalilisha watendaji wa jeshi la usalama wa barabarani. HAIKUBALIKI
Vinginevyo hao trafic warudi Ofisin haraka na ni aibu kamanda mkuuu kusimama kwa media kuongelea mambo kama hayo, ni kukosa weledi.
Ni nani aliyemuua Ali Kibao?
Yupo wapi Ben Saane?
Amekufa au yupo hai; kwenye mila zetu za Kichaga hii damu italipwa kwa namna yoyote mpaka
Mtuletee majivu yake tuyazike na taratibu zetu za ibada ama sivyo mchezo haujaisha na mioyo yetu bado inavuja damu.
Tunataka kusikia ni nani aliyempiga Tundu Lissu risasi kwenye yadi ya serikali ?
Tunataka kusikia Soka yupo wapi ?
Tunataka kusikia wabakaji wa binti wa Dovya wapo wapi ? Tunataka kusikia nani alimteka Nondo?
Hayo ndio majukumu yenu ya msingi
NK
Hayo mengine ni hayana ishu kwa taifa;
Dk Megalodon, Mgombea wa PhD
Ofisi ya Mkoa ya WHO
Rue 52 , Ottawa
Kanada
Hawa askari wakiamua wakomalie maadili watakao toa milio ni sisi madereva.I dont see an issue there, traffic wamekuwa wakitusaidia sana barabarani kwa kweli, na wao ni binadam
Black skin huwa wanashida na maskini wenzao, not a problem at core..
Huyo alierekodi ni mtu aliekosa busara kabisa.
Nikiangalia wale trafick nawaonea huruma sana...
Ila siku nyingine muweke utaratibu awe anapokea third party kama wenzenu wanavyofanya.
Vi buku mbili ni facilitation allowance na sidhan kama ni rushwa per se as per definition.
Mfano konda anampa trafc buku mbili ni ili traffic asifanye kitu gani? Kuna haki gani haitopatikana akitoa hiyo buku 2?
Kama consequences ni so immaterial kuwaweka sijui lock up na kuwasimamisha kaz si jambo la uungwana sana.
Kuna kuelimishana na kuchukuliana...
Alie msafi na awe wa kwanza kurusha jiwe.
Uts your choice ulipe fine ya 30000 or utoe kitu kidogoMoja ya matukio ya Hovyo ni kuchukua Trafiki video wanapokusanya mapato ya kuchomwa na jua la siku nzima hizi video zinalengo la kudhalilisha Trafic na sio sawa na yeyote mwenye hii Tabia aache… na jeshi la polisi Tz hili lichukuliwe kwenye Taswira ya kudhalilisha jeshi.
Trafic hajawahi kumlazimisha mtu kuchangia mapato ya kuchomwa na jua ! It is your choices ni ulipe fine ya 30,000 au umalizane nae hapo hapo yote ni sawa.
Ni makosa mapato ya kuchomwa na jua yatafsiriwe kama rushwa !! Kama polisi -Tanzania mnataka kweli ku deal na rushwa nendeni kwenye mikataba ya hiyo nchi kama DP World, Mikataba ya madini, Ujenzi wa SGR, ujenzi wa mwendokasi…. Huko ndio kuna Big fish Corruption
Mshahara wa Rais ni 139M ….. ambae 24 hours yupo kwa AC, , mshahara wa mawaziri ni mnono and yet wanapiga deal fake na muda wote wanakula mema ya nchi, watoto wa marais na mawaziri kama kina Abdul ambao hawana history ya nchi…. Wanakula mema na kupiga deal fake…. Goli moja linanunumia kwa 5M na chanzo cha fedha hakijulikana. Polisi yote hayo hamdeal nayo mnaenda ku deal na vi elf mbili mbili wanavopewa trafic kama mapato ya kuchomwa na jua !
Soma Pia: Trafiki wawili wakamatwa baada ya kunaswa kwenye video wakipokea Rushwa hadharani
Polisi TZ acheni mihemko ya kila kitu cha mitandao mkitolee ufafanuzi au ku deal nacho au kuwachukulia hatua watendaji wenu ! Mengine ni hayana msingi dilini na mambo makubwa yanayoikabili nchi kama vile Rushwa zinazofanywa na viongozi wakuu, utekaji n.k
Pamoja na mambo mengine mnatakiwa ku deal na watu wanao rekodi trafic wanapokuwa kwenye majukumu yao ya kukusanya mapato ya kuchomwa na jua, hao watu wakamatwe na wafanywe mfano maana wanadhalilisha watendaji wa jeshi la usalama wa barabarani. HAIKUBALIKI
Otherwise hao trafic warudi Ofisin haraka na ni aibu kamanda mkuuu kusimama kwa media kuongelea mambo kama hayo, ni kukosa weledi
Ni Nani aliyemuua Ali Kibao?
Yupo wapi Ben Saane?
Amekufa au yupo hai; kwenye mila zetu za Kichaga hii damu italipwa kwa namna yoyote mpaka
Mtuletee majivu yake tuyazike with our ritual proceedures or else the game is not over and our hearts are still bleeding
Tunataka kusikia ni nani aliyempiga Tundu Lissu risasi in the government yard ?
Tunataka kusikia Soka yupo wapi ?
Tunataka kusikia wabakaji wa binti wa Dovya wapo wapi ? Tunataka kusikia nani alimteka Nondo?
Hayo ndio majukumu yenu ya msingi
N.K
Hayo mengine ni hayana ishu kwa taifa;
Dr Megalodon, PhD Candidate
WHO Regional Office
Rue 52 , Ottawa
Canada
Hao big fish ni zao la small fish, deal nao wote kwa pamoja, kwa kuanzia na hawa wanaochukua posho kizembe bila caution maana hawa wakiwa wakubwa watakwapua kingiDogo, mifumo ya nchi nzima ni Corrupt
Start with big fish ndio uje na small fish
Otherwise ni UPUMBAVU….. Hold it
Huna facts kaka, mikataba mikubwa inakuwa protected by gov, sheria yenyewe inadai ya siri? Rushww ya level zile si ya mkononi, ni rushwa kubwa na zinafanyika kwa usiri mkubwa sana.H
ivi vipesa vya kiwi na maji mimi huwa hata simaindi sana Kwakweli.
Huyo jamaa aliyerekodi huenda amekataliwa au ameachwa !
Nenda karekodi mikataba mikubwa mikubwa ya madini na Gesi na mengineyo !
Hivi vijihela vya maji na kiwi we are not interested at all !
Watu wanahenya juani sio mchezo !
Muwe na huruma nanyi mtahurumiwa na Mungu !
Watanzania ni Asili yetu kusaidiana !
Mabig Fish yanachekelea tu na mabilioni yao nobody can touch them !
Wale wa vijihela hela ndio wanahenyeshwa ! Acheni hizo Bandugu we are not interested in this issue at all !
Sio the late aliposema ni hela ya kiwi? Ilifika kipindi wakaea wanaokba wazi wazi bila fearAskari usalama barabarani kupenda rushwa imechangiwa na Samia pale aliposema Kila mtu ale Kwa urefu wa kamba zao.kabla ya Samia Hawa askari walikuwa wazalendo kabisa na hawakujihusisha na rushwa hata kidogo.wakushitakiwa ni huyo aliyewaambia wale Kwa urefu wa kamba zao.
Kabisa Mkuu !Umeeleza vzr mkuu , ila tutakaa kwenye ujinga huu hadi lin ? ,
Unatak kusema kuw mmiliki alie nunua costa ya 90Million atashindwa kutimiza kanuni za barabarani ?
Unazan wote wanao toa hongo (daladala driver wanamakosa , ?) wengin wanatzmiza tuu mazoea kuepusha kubabikiwa na kusumbuliwa .
Ila mabadiliko yanapaswa yaanzie juu huko na chini (mifumo ya elimu) matumiz ya teknolojia yanawez kupunguz rushwa na urasimu kwa 90%
Mkuu, trafiki wanaongozwa na sheria ya usalama barabarani. Sheria inaelekeza kuwa askari anaweza kufifilisha kosa pale dereva anapokubali kosa. Kufifilisha (compound) ndio vile anavyokuandikia faini.Sisi wengine tumeshughulika na magari miaka nenda rudi mpaka tumezeeka !
Hivyo magari tunayajua vizuri sana !
Magari yasiyokuwa na kosa hata moja na yapo barabarani hiyo ni ngumu sana !
Kama sio kosa la gari litakuwepo kosa la kibinadamu ndani ya gari !
Madereva wengi TZ huwa wanasifiana jinsi wanavyovunja sheria na kuzikwepa adhabu. !
Kumbe wewe dogo sana!🤣, I am 36 yrs old … how old are you ?
Tunaweza kujua wewe ni dogo au chalii fulani hivi kupitia comment yako
Watabata watamrekodi uhalifu watabata.Atawarekodi vipi wakati hajawaona wakifanya huo uhalifu? Kila raia mwema arekodi uhalifu anaouona. Mtu yuko Kawe, anawezaje kurekodi uhalifu unaofanyika Tabata?
Unaweza kufanya kazi juani masaa 12?Traffic polices sio wa kuhurumia.
Wanaomba rushwa kila dakika.
Siku nikiwa kiongozi angalau wa wilaya , mimi nitawamaliza wote wala rushwa.