Teknolojia isiathiri utu wetu, Polisi Tanzania msifanye kazi kwa mhemko. Trafiki 2 warudi Ofisini haraka

Naona kiasi frani wa tz tunabadirika, ukifatilia maoni ya wengi humu wanatetea utu!
 
🤣🤣🤣 wanaenda kumkamata na kumuweka maabusi mtu anaekula elf 2 wanawaacha watu wanaojiita bongos wa nchi ,wanaokula billions

Mambo ya hovyo kabisa
Jumanne mliro katimiza wajibu wake asingeweza kuwaacha huru wakati video imewaonyesha wakichukua rushwa tena kwa Kasi ya ajabu, hao wanaokula billions siku wakionekana live kama hao naamini mliro atawasweka ndani pia tumsaidie kumpelekea evidence kama alivyofanya aliyerekodi video ya traffic, pongezi kwake.
 
Kumbe hata wewe uko kwenye karne ya 50 huko?
Huko Canada haujaziona kamera zikifanya kazi barabarani?
Utawezaje kuikataa technology isitumike kufichua maovu.
 
Hawa askari wakiamua wakomalie maadili watakao toa milio ni sisi madereva.
 
Waache double standard, rushwa barabarani iko wazi kila kona ya nchi. Ivi ile taasisi ya kupambana ivi bado ipo?

kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Takukuru, 2022. Taasisi zifuatazo ziliongoza kwa Rushwa Tanzania.
1. Polisi 45.6%
2. Afya 17.9%
3. Mahakama 11.9%
4.TRA 6.1%
 
Uts your choice ulipe fine ya 30000 or utoe kitu kidogo
Hiyo ni rushwa, and since when gov imerasisha such things?

Yaani watz mmekuwa conditioned kuwa rudhwa ni way of life, halaf baadae mnaanza kulalamikia rushwa hiyo hiyo?

Hawa wamezingua na hamna namna
 
Dogo, mifumo ya nchi nzima ni Corrupt
Start with big fish ndio uje na small fish
Otherwise ni UPUMBAVU….. Hold it
Hao big fish ni zao la small fish, deal nao wote kwa pamoja, kwa kuanzia na hawa wanaochukua posho kizembe bila caution maana hawa wakiwa wakubwa watakwapua kingi
 
Huna facts kaka, mikataba mikubwa inakuwa protected by gov, sheria yenyewe inadai ya siri? Rushww ya level zile si ya mkononi, ni rushwa kubwa na zinafanyika kwa usiri mkubwa sana.

But then still ni rushwa vile vile
 
Sio the late aliposema ni hela ya kiwi? Ilifika kipindi wakaea wanaokba wazi wazi bila fear
 
Kabisa Mkuu !
 
Mkuu, trafiki wanaongozwa na sheria ya usalama barabarani. Sheria inaelekeza kuwa askari anaweza kufifilisha kosa pale dereva anapokubali kosa. Kufifilisha (compound) ndio vile anavyokuandikia faini.

Ikiwa dereva hajakubali kosa anatakiwa kufikishwa mahakamani na kama kosa litathibitika mahakamani basi atalipa faini kwa amri ya mahakama.

Sasa hapo kwenye kufifilisha kosa ndio maaskari wanapojificha na kufanya vile watakavyo kupitia zile Pos machine. Hakuna askari anayekubali kumfikisha dereva mahakamani, anakuandikia tu utajua wewe mwenyewe. Na ndio msingi wa hizo hela zinazotolewa kama rushwa, mtu anatoa bila kupenda maana anajua akibisha zaidi basi anakula umeme wa elfu 30 iwe amekosa au la
 
Naunga mkono hoja. Pamoja na kero za trafiki barabarani lakini hawajawahi kumlazimisha mtu kutoa hongo. Tena huwa wanawashawishiwa sana wapokee hongo. Hivi uliyepiga hiyo picha unapata faida gani kwa askari hao kufukuzwa kazi?

Jeshi la Polisi tunaomba hao Askari wasamehewe
 
Atawarekodi vipi wakati hajawaona wakifanya huo uhalifu? Kila raia mwema arekodi uhalifu anaouona. Mtu yuko Kawe, anawezaje kurekodi uhalifu unaofanyika Tabata?
Watabata watamrekodi uhalifu watabata.
Ila hao jamaa naona wapo peace tuu
 
Traffic polices sio wa kuhurumia.
Wanaomba rushwa kila dakika.
Siku nikiwa kiongozi angalau wa wilaya , mimi nitawamaliza wote wala rushwa.
 
Kumbe hata wewe uko kwenye karne ya 50 huko?
Huko Canada haujaziona kamera zikifanya kazi barabarani?
Utawezaje kuikataa technology isitumike kufichua maovu.
Kivipi ?
 
Traffic polices sio wa kuhurumia.
Wanaomba rushwa kila dakika.
Siku nikiwa kiongozi angalau wa wilaya , mimi nitawamaliza wote wala rushwa.
Unaweza kufanya kazi juani masaa 12?

Unatakiwa kuwaambia Serikali kuboresha maslahi yao ili waweze kuwa sawa

Trafic anakula Rushwq gani?

Unajua maana ya Rushwq ww ?

Unawajua wala Rushwq ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…