Teknolojia isiathiri utu wetu, Polisi Tanzania msifanye kazi kwa mhemko. Trafiki 2 warudi Ofisini haraka

Kwahyo mnahalalisha uovu sio? Ni lini watz tutakuwa na akili na kuacha unafki? Tochi zikizidi barabarani na rushwa tunalalamika sana, wameibuliwa na kutaka kuwajibishwa hao tunarudi tunaanza kutetea jambo ambalo ni kinyume na sheria.
 


Tanzania mnaonea huruma sana wala rushwa ndiyo maana tumefika hapa
 
Nitashangaa sana kusikia wamefukuzwa na itakuwa ni ajabu. Hivyo kuanzia sasa tunaweza poteza askari wengi sana. Maana technology imekuwa sana kumchukua mtu tukio kwa camera si tabu tena.

Matukio kama haya yapo mengi sana sana. Kuna kiongozi ashawai kutamka hadharan kuwa tuwape hela za kubrush viatu

Wale maaskari sijui kama afu tano alipewa kama sio buku/mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…