nguvu ya buku
Senior Member
- Jul 15, 2025
- 168
- 549
Tukifika huko, ndoa nyingi sana zitavunjika.
Wife kaingia chooni kwa dakika chache.
Mme wake anainua simu haraka anafungua app ya DNA
Anatoa pipi mfukoni anamlambisha Junior ili apate mate, anachukua pamba anachovya kidogo anaigusisha kwenye simu,
anaminya “Scan sample.” Simu inaanza kuchakata data ikiwa imeandika "Analyzing DNA...,
ndani ya sekunde 30 onaandika Results Ready (matokeo tayari)
Anatabasamu kwa mashaka, anapoona:
“DNA Results: 0% match.”
Macho yanabadilika. Dunia inatetemeka kimya kimya.
Mke anaingia chumbani anamuuliza kunani tena mbona umebadilika