Teknolojia katika Uchaguzi

Teknolojia katika Uchaguzi

KiuyaJibu

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2007
Posts
848
Reaction score
191
Nilitegemea kujiandikisha 1. Online (kwa mtandao) na 2. Kwenda kwenye vituo vya kujiandikisha.

Sasa hadi wakati huu wa kupiga kura bado mtu analazimika kwenda mahali alipojiandikisha?!

Kutekelezwa kwa Na. 1, maana yake yote yangefanyika popote mtu alipo bila tatizo lolote; kwa hali ilivyo hadi hivi sasa, waliosafiri na wale walioshindwa kufika kwenye vituo haki yao ya kupiga kura imepotea kirahisiii.

Kama kweli tunajali haki itendeke kuna haja ya kufanya mabadiliko sasa ili 2025 tusije kulaumiana.
 
Back
Top Bottom