Jago The Bank
New Member
- Feb 17, 2019
- 3
- 4
Tunaweza kubadilisha jamii kwenye swala la uchumi kwa sababu uchumi unapokuwa vizuri kwa kila mtu ndivyo kunakuwa na maisha bora katika jamii.
Nikiongelea uchumi nitajikita zaidi katika mapinduzi ya nne ya viwanda, kama dunia imepita katika vipindi vitatu lakini leo tupo katika mapinduzi ya nne ya viwanda katika ili kuna mambo mengi sana lakini nitazungumzia Blockchain Technology kwenye upande wa Cryptocurrency (Sarafu za kidigitali) na Foreign exchange (forex).
Nikianza na Biashara ya Forex ni biashara ya mabadilishano ya fedha za kigeni ii inafanyika physical lkn pia inafanywa kwa njia ya mtandao pia kwa sababu ya ukuaji wa sayansi na Teknolojia, inamuwezesha mtu leo kufanya bureau exchange hata akiwa amekaa nyumbani na simu yake kupitia application ya meta trader 4 na MetaTrader 5.
Biashara ya cryptocurrency/ sarafu za kidigitali ni biashara iliyoanza mwaka 2009 na sarafu ya kwanza kuvumbuliwa ilikuwa ni Bitcoin lakini leo kuna sarafu za kidigitali zaidi ya elfu 5 Duniani hata Tanzania kuna kipindi tulikuwa na sarafu kama fahari coin na Tembo coin lakini hazikupata sapoti kwa sababu ya watu kukosa elimu sahihi ya izi biashara.
Lakini ni Biashara zinazofanya vizuri sana Duniani matajiri wakubwa na kampuni kubwa dunian wamewekeza kwenye izi biashara mfano Tajiri wa kwanza Duniani Elon musk ukifatilia chanzo cha utajiri wake utagundua nyuma ya hisa za Tesla kulikuwa na uwekezaji mkubwa Wa bitcoins kitu kilichofanya kuibuka kuwa Tajiri namba moja wakati Dunia inapitia kipindi kigumu cha uviko 19.
Mataifa Mengi leo yamekuwa yakijihusisha na biashara izi za forex na cryptocurrency uku Tanzania ikiwa nyuma kwenye biashara izi na serikali ya Tanzania ikionekana kutotoa nafasi na kibali kwa Watanzania kupata elimu izi.
Stori ii ya mabadiliko inalengo chanya ya kubadilisha mtazamo wa jamii na serikali kuhusu ukubwa wa biashara za mitandaoni na faida zake kwa wananchi wa Tanzania, ambapo asilimia kubwa ya Watanzania hawana elimu sahihi ya ipi ni biashara sahihi ya mtandaoni na hatimaye wamejikuta wanarubuniwa na wezi wa mitandaoni na kupoteza pesa zao.
Ukweli ni kwamba kuna Watanzania wengi ambao wamepoteza pesa katika kuhangaika kufanya biashara za mitandao kwa sababu walikutana na watu ambao sio sahihi.
Nchi ya kenya wakati wa uchaguzi wa mwaka 2017 uhuru kenyata katika kampeni zake aliahidi kufungua madarasa yatakayokuwa yanatoa elimu kuhusu biashara za mitandao kwenye upande wa sarafu za kidigitali na forex na akatoa kibali cha wazi kwa watu wote wanaojihusisha na biashara hizo kuwa huru kufanya bila kuingiliwa.
Matokeo yake katika maamuzi hayo nchi ya kenya katika Bara la Afrika na afrika mashariki ni nchi ambayo imekomaa kiuchumi na wananchi wake wameboresha maisha yao kupitia biashara za mtandaoni.
Ntatoa mfano wa rafiki angu alikuwa anafanya kazi kenya siku moja akanitafuta “akaniambia nataka unielekeze kitu mana naona unapost kwa status zako kila siku kuhusu sarafu za kidigitali na forex? Na uku kenya kila nikiwatembelea marafiki zangu mwisho wa wiki nakuta wanatv kubwa au vioo vya kompyuta vinaonesha graph alafu nikiwauliza hawaniambii ni nini? Na wanapiga pesa sana “
Ni hatua kubwa waliofikia vijana wakenya wameamua kujiajiri wenyewe kupitia biashara izi za mtandaoni, huku vijana wakitanzania wamemua kutumia mitandao ya kijamii kwa namna ya kupata burudani na starehe tu pia zipo nchi nyingi sana za kutolea mifano ambazo ziliikubali elimu iyo na zinafanya vizuri
Nchi ya Tanzania ilianza kuthubutu kwa kuanza kuchukua hatua kwenye swala la biashara ya sarafu za kidigitali, Mwaka 2021 mwezi wa saba Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia suluhu Hassan katika kongamano la wafanyakazi na wafanyabiashara Mwanza aliagiza waziri Mwenye dhamana Faustine ndungulile aunde jopo la wataalamu ili kuchunguza kwa umakini blockchain technology na sarafu za kidigitali zinavyofanya kazi ili Tanzania tusibaki nyuma.
Vikao vilifanyika tarehe 8 mwezi wa saba Waziri na jopo la wataalamu Mbalimbali kujadili swala la Blockchain Technology na sarafu za kidigitali.
Lakini mpaka leo mwaka 2022 hakuna matokeo yoyote hivyo stori ii inalenga serikali kufanya mchakato watu wapewe elimu ii ya sarafu za kidigitali kwa sababu ina faida sana.
Mfano;
Mwaka 2009 sarafu moja ya kidigitali Bitcoin iliuzwa chini ya dola moja 0.0005 lakini baada ya miaka kusogea na matumizi ya coin yanaongezeka kufikia bitcoin moja kuuzwa na kununuliwa kwa zaidi Ya Dola elfu thelathini 30,000/=
Ukitaka kunielewa nenda Google alafu sachi Bitcoin today itakuja gharama ya bitcoin moja kwa iyo siku
Bitcoin imewatajarisha watu wengi sana na nchi nyingi sana natoa rai kwa serikali kuanzisha mfumo wa elimu wa biashara za mitandaoni kwenye swala la forex na cryptocurrency ili watu waweze kujiajiri wenyewe kupitia simu zao wenyewe ili kupunguza wimbi kubwa la watu wasio na ajira Tanzania
Teknolojia tukiitumia vizuri hatuwezi kuharibu pesa za bando kila siku kuingia Tiktok na Facebook Tunaomba mabadiliko kwenye ii sekta ya Teknolojia madarasa yafunguliwe na watu wafundishe izi biashara.
Mpaka sasa ivi kuna watu ambao wamefungua madarasa yao binafsi wanafundisha lakini pasipo kuwa na vibali maalumu kwa sababu ya kutopewa sapoti na serikali ya Tanzania.
Naomba kuwasilisha ili swala Tunaitaji elimu ya Blockchain Tanzania.

Upvote
6