Teknolojia: Niger kuanza kutengeneza mvua kukabiliana na ukame

Teknolojia: Niger kuanza kutengeneza mvua kukabiliana na ukame

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
TEKNOLOJIA: NIGER KUANZA KUTENGENEZA MVUA KUKABILIANA NA UKAME

Niger imeanza kutumia teknolojia ya kutengeneza mvua inayolenga kupunguza athari za ukame nchini humo, ili kuongeza uzalishaji wa vyakula baada ya kukabiliwa na vipindi virefu vya ukame

Mkuu wa taasisi ya kitaifa ya hali ya hewa, Katiellou Gaptia Lawan, amesema Teknolojia hiyo inahusisha kutumia ndege kunyunyiza kemikali kwenye mawingu

Unyunyiziaji huo unalenga maeneo yanayojishughulisha na kilimo

..........................................

Niger has deployed rainmaking technology aimed at alleviating the effects of drought in the country, weather authorities said Thursday.

The desert country has faced a food crisis for years because of extended dry spells.

The head of the national meteorology institute, Katiellou Gaptia Lawan, told AFP news agency: “We had to do something about this drought.”

The "induced rain" technology involves using an aircraft to spray chemicals into clouds.

The intervention is targeting areas where people farm.

Some parts of the country have experienced flooding further adding to the food crisis.

Source: BBC
 
Hizo kemikali zinazonyunyiziwa kuna usalama kweli? Au ndo sumu kabisa kwa madhara ya baadae.

Kitu asili ni asili bhana, acha MUNGU aitwe MUNGU kazeni maombi.
 
Back
Top Bottom