Sisi tumekalia kubambikiza kesi na kuonea wachora katuni wanaochora picha za Hangaya.wenzetu wanazidi kupiga hatua kwa teknolojia ambazo kwa sasa zina kuja kasi.
Masudi kakamatwa au?Sisi tumekalia kubambikiza kesi na kuonea wachora katuni wanaochora picha za Hangaya.
Post in thread 'Mchoraji Katuni, Optter Fwema mahakamani leo' Mchoraji Katuni, Optter Fwema mahakamani leoMasudi kakamatwa au?
Hahahahahah wachimba chumvi classicsisi tuko kutumia mkongo kuridhisha 'shimo' ulilotokea
Acha uzumbukuku, unataka kusema yeye ndio kagundua ahiyo technology? Ni sawa na Mimi ni-google alafu niseme Kuna magari ya bila dereva yatakujaHii tech. Kuna uzi wake humu aliuwekaga Ontario miaka kama mi 5 iliyopita, wazanaki wa humu j.f wakampiga majungu sana kisa forex jamaa akasepa, Salute kwako Ontario popote ulipo.
mkuu some books znazohusiana na hii kitu na futuristMjitahidi kuangalia chanel ya Discovery na National Geographic hivyo vitu vinaonyeshwa sana.
Kwenye Chanel 136 Discovery Family Dstv kuna kipindi kina Factory Line kina mambo mengi mazuri and some Futuristic stuffs
Soma hapo..mkuu some books znazohusiana na hii kitu na futurist
Hapa umecheza shukrani sanaSoma hapo..
A Journey to the smart world: Ifahamu teknolojia ya Artificial Intelligence na utendaji wake wa kazi
Salute.. Maisha yanakwenda kwa kasi mno mengi hayawezekani hayapo wenzetu huko wanakesha kutuonyesha jinsi kila kitu kinawezekana kama ukiwa na nia thabiti na mipango. Huko duniani kuna vitu vinaitwa Futurist na Futurology, Futurist ni watu wanaojihusisha na mambo ya Futurology. Futurology...www.jamiiforums.com
nmepita nao angalau nmebakiza page10 mpaka mda huu itakua vyema nikipata muongozo wa vitabu labda..Soma hapo..