Teknolojia ya 3D printer ya kujenga nyumba

Teknolojia ya 3D printer ya kujenga nyumba

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
wenzetu wanazidi kupiga hatua kwa teknolojia ambazo kwa sasa zina kuja kasi.

Teknolojia ya 3d print imeanza miaka michache iliyopita.

ilianza na kuprint vitu vya plastic na fibre

IMG_1037.jpg

baadae ikaja kuanza teknolojia ya kuprint vitu vikubwa kama boat na matenki ya maji
IMG_1041.jpg

3d print imekuja na teknolojia ya kutengeneza nyumba sasa
IMG_1036.jpg

IMG_1035.jpg

IMG_1034.jpg

na hii moja ya nyumba ya 3d print

IMG_1038.jpg

teknolojia 3d print inaweza kutengeneza kifaa chochote
IMG_1039.jpg

IMG_1040.jpg

IMG_1042.jpg

IMG_1043.jpg
 
Amini amini nawaambia kuna wakati utafika tutakuwa hatufi binadamu.
 
Hii tech. Kuna uzi wake humu aliuwekaga Ontario miaka kama mi 5 iliyopita, wazanaki wa humu j.f wakampiga majungu sana kisa forex jamaa akasepa, Salute kwako Ontario popote ulipo.
 
Fundi naniliu shikamooo naiona ajira yako inavoenda kuota vichaka na nyasi

👣👣👣
 
Mjitahidi kuangalia chanel ya Discovery na National Geographic hivyo vitu vinaonyeshwa sana.
Kwenye Chanel 136 Discovery Family Dstv kuna kipindi kina Factory Line kina mambo mengi mazuri and some Futuristic stuffs
 
Hii tech. Kuna uzi wake humu aliuwekaga Ontario miaka kama mi 5 iliyopita, wazanaki wa humu j.f wakampiga majungu sana kisa forex jamaa akasepa, Salute kwako Ontario popote ulipo.
Acha uzumbukuku, unataka kusema yeye ndio kagundua ahiyo technology? Ni sawa na Mimi ni-google alafu niseme Kuna magari ya bila dereva yatakuja
 
Mjitahidi kuangalia chanel ya Discovery na National Geographic hivyo vitu vinaonyeshwa sana.
Kwenye Chanel 136 Discovery Family Dstv kuna kipindi kina Factory Line kina mambo mengi mazuri and some Futuristic stuffs
mkuu some books znazohusiana na hii kitu na futurist
 
mkuu some books znazohusiana na hii kitu na futurist
Soma hapo..
 
Soma hapo..
nmepita nao angalau nmebakiza page10 mpaka mda huu itakua vyema nikipata muongozo wa vitabu labda..
 
Back
Top Bottom