nyumbani kwenu
Senior Member
- Aug 11, 2020
- 152
- 152
wakuu habar zenu?
Teknolojia ya eSim imetukomboa sisi ambao tunamiliki line zaidi ya moja za mitandao tofauti, hii teknolojia nimeipa maua yake aisee.
Zaman nilikua nahangaika na kubadilisha line kwa kitochi lakin sasa hivi naenjoy,nimesajili line zangu zote kwa eSim,ambapo nikiamua line gan iwe hewan naiswitch on, inakua hewani no kubadilisha line mara pini mara nn, ni teknolojia nzur sana, na kama simu yako inaweza saport 2eSim at the same time wewe ni mkali zaidi.
Hii teknolojia nimeipa maua yake