Teknolojia ya eSim imetukomboa sisi ambao tunamiliki line zaidi ya moja

Wakuu pixel 4a ina uwezo wa esim ngap kuweka ?
kuungaanisha simu yako na esim akuna limit, sema kuwepo hewani ni namba moja tu ya esim ndio inayoweza kua hewan, inakua one physical sim na esim moja ndio zinakua hewan
 
Inategemea zipo simu zinasupport esim tu so zote mbili zinakua esim mfano mzuri ni version ya amerika kwa hii latest iphone
 
Back
Top Bottom