nyumbani kwenu
Senior Member
- Aug 11, 2020
- 152
- 152
mkuu unaweza fafanua hili?ni jipya kwanguEsim mkombozi wa internet ya wezi TZ,kwa esim unaweza kupata huduma ya internet ndani ya TZ bila hawa kina voda
Play store kuna app zinauza internet very cheaper,simu yako kama inasapoti Esim unachotakiwa kuinstall hiyo app itakupa maelekezo na unalipia kwa kwa visa card,master card nkmkuu unaweza fafanua hili?ni jipya kwangu
mkuu asante sana,nitajaribu hiliPlay store kuna app zinauza internet very cheaper,simu yako kama inasapoti Esim unachotakiwa kuinstall hiyo app itakupa maelekezo na unalipia kwa kwa visa card,master card nk
Play store kuna app zinauza internet very cheaper,simu yako kama inasapoti Esim unachotakiwa kuinstall hiyo app itakupa maelekezo na unalipia kwa kwa visa card,master car
mkuu samahan mfano wa apps hizoPlay store kuna app zinauza internet very cheaper,simu yako kama inasapoti Esim unachotakiwa kuinstall hiyo app itakupa maelekezo na unalipia kwa kwa visa card,master card nk
mga
mkuu samahan mfano wa apps hizo
mkuu asante sanaView attachment 3002015View attachment 3002016
Zipo nyingi tu,kwa msaada unaweza kuzigoogle ukapata kuzijua zaidi,hizo takataka voda na tigo bye bye,hii nape hana uwezo wa kuizuia kama alivyofanya starlink
Unaweza kutumia e sim zaid ya 1 wakati mmoja?
Unawezaje kurudia physical card ?
*#06# OkUnajuaje kama simu yako inasupport hiyo esim, na unafanyaje ili kutumia.
Weka nondo mkuu, mbona umeishia kutulingishia tu.