Teknolojia ya Intaneti yenye Kasi ya 6G yaingia nchini

Inategemea na eneo gani kwenye teknolojia maana ni pana sana.
Ni kweli, hata hivyo kama una Mtaji unaweza kuwa-consult Wataalamu kwenye hiyo nyanja wakatoa directives ili kusaidia kulinda Mitaji kabla hujaamua kuwekeza
 
Wakiongelea town wanamaanisha pale posta, masaki, osyerbay na kariakoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…