Teknolojia ya Intaneti yenye Kasi ya 6G yaingia nchini

Teknolojia ya Intaneti yenye Kasi ya 6G yaingia nchini

20240508_130650.jpg

Kwa hapa bongo 4G yenyewe miyeyusho tu
 
100Mbps ndio kasi ya 6G? Basi Mimi itakua nimeshaitumia sana kabla hata haijaanza kutumika maana nishatembelea sana 200Mbps sasa sijui hio itakua 7G/8G

Usimuulize Wapi? Ni hapahapa Bongo
Inasikitisha sana yaani
 
😁😂😁😁😂😂Hiii la afu tatu ukigusa kidogo YouTube unaambiwa umetumia asilimia 75 naunga mkono hoja apo afu tatu 😂😁 😂😁😁 bado 5G yenyewe bongo sio nzuri sana
Afu ukute ni voda 🤣 wana dhambi hao
Kuangalia miziki mi3 tu bundle kwishney
 
Afu ukute ni voda 🤣 wana dhambi hao
Kuangalia miziki mi3 tu bundle kwishney
Wanazingua sana yaani wanashindwa hadi na Burundi kule bando nafuuu sana hapa bongo tuna fanyiwa wizi sana
 
Back
Top Bottom