Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Kuwepo kwa teknolojia za kisasa kumesaidia kuleta mapinduzi makubwa kupindukia katika ukusanyaji wa mapato katika mataifa yao ya Ulaya.
Hawa jamaa zetu wamefanikiwa kupunguza cash transactions kwa 80%, hivyo kusababisha fedha zote kuingia katika mfumo sahihi hivyo kukatwa kiasi kidogo cha kodi stahili ambacho huelekezwa katika control namba moja ya mfuko mkuu.
*Napendekeza Taifa letu lione jinsi gani linaweza kuanzisha mfumo huu hatua kwa hatua kwenye miji mikuu ya nchi kwa kuanzia Dar, Mwanza, Arusha n.k.
Kwa kuanza kueneza swap machine sehemu zote muhimu, mishahara yote pamoja na ya wabunge moja kwa moja kuingizwa kwenye kadi za mfumo wa swap.
Watu wote kujisajili katika mabenki ili kuwawezesha kupata kadi zao kwa ajili ya swap. Kuristrict kiasi cha cash ambacho mtu anaruhusiwa kuwa nacho kinachoruhusiwa kisheria, let say laki 500,000/-
Watanzania wote kuhimizwa kuwa na kadi.
*TAIFA LETU LITAKUSANYA PESA AMBAYO HAIJAWAHI KUFIKIRIKA.
*KWA NINI KUSIWE NA KITU KAMA REA KWA WENZETU WA DAWASCO ILI KAPASENTAGE KAKASAIDIA KUENEZA MAJI VIJIJINI?