Teknolojia ya kisasa ndiyo sababu ya nchi za Ulaya kukusanya mapato kwa ufasaha

Teknolojia ya kisasa ndiyo sababu ya nchi za Ulaya kukusanya mapato kwa ufasaha

Haya ndo mawazo ya kizalendo. Sio mawazo ya wachumia tumbo akina crimea
Nimekupata sana ndg yangu >Huu ukusanyaji wa locally unasababisha mianya mingi sana ya upotevu wa fedha,na hili huende lisifurahishe watu "Wabinafsi"...
 
Hao ndiyo wanaoturudisha nyuma kutokana na wanachovuna kutowiana na kazi wanayofanya na wingi wao kutoakisi watu wanaowawakilisha, tuanze na kuwapunguza kwanza wamezidi kutunyonya
Ni kweli kabisa.
 
Mchawi wa Mtu mweusi kwenye maendeleo ni Mtu Mweusi mwenyewe. Tumekuwa wajuaji sanaa lkn ujuaji wetu tumefeli kuweka kwenye vitendo. Tumekiwa watu wa kujiwekea vikwazo hata kwenye fikra zetu wenyewe. Mfano hai upo hapa bapa katika izi huu, yaani watu washakata tamaa at first point😂😂, Tupo negative sana kwenye mitazamo juu ya masuala mbalimbali, sijui ni laana au hata sijui tatizo lingine zaidi ni nini kwa kweli!
 
Haha

Hivi ndivyo akili zetu wabongo zilivyo!

Hata ktk maisha yetu ya kawaida unapotaka kufanya jambo halafu ukaomba ushauri kwa watu mostly utaishia kuvunjwa moyo tu, yani watu wanamitazamo hasi kuliko chanya.
 
Bongo ukiwa na Jambo lako kichwani unataka kulifanya we lifanye tuu..usithubutu kuomba ushauri maana utavunjwa sana Moyo
 
Kuwepo kwa teknolojia za kisasa kumesaidia kuleta mapinduzi makubwa kupindukia katika ukusanyaji wa mapato katika mataifa yao ya Ulaya.

Hawa jamaa zetu wamefanikiwa kupunguza cash transactions kwa 80%, hivyo kusababisha fedha zote kuingia katika mfumo sahihi hivyo kukatwa kiasi kidogo cha kodi stahili ambacho huelekezwa katika control namba moja ya mfuko mkuu.

*Napendekeza Taifa letu lione jinsi gani linaweza kuanzisha mfumo huu hatua kwa hatua kwenye miji mikuu ya nchi kwa kuanzia Dar, Mwanza, Arusha n.k.

Kwa kuanza kueneza swap machine sehemu zote muhimu, mishahara yote pamoja na ya wabunge moja kwa moja kuingizwa kwenye kadi za mfumo wa swap.

Watu wote kujisajili katika mabenki ili kuwawezesha kupata kadi zao kwa ajili ya swap. Kuristrict kiasi cha cash ambacho mtu anaruhusiwa kuwa nacho kinachoruhusiwa kisheria, let say laki 500,000/-

Watanzania wote kuhimizwa kuwa na kadi.

*TAIFA LETU LITAKUSANYA PESA AMBAYO HAIJAWAHI KUFIKIRIKA.

*KWA NINI KUSIWE NA KITU KAMA REA KWA WENZETU WA DAWASCO ILI KAPASENTAGE KAKASAIDIA KUENEZA MAJI VIJIJINI?
Lakini katika Bongo, unakuta mfanyabiashara tena mkubwa anakuwa hana hiyo system au anawaambia TRA kwamba hana kumbe nayo lakini anakuw na manual system kwa ajili ya TRA, modn system kwa ajili yake na wenzie nje ya nchi. Kama walivyokuwa wanafanya wenye mabasi kukata electronic ticket.
Na Mama anatakiwa kusimamia hilo
 
Back
Top Bottom