Thanks. Nitapitia hiyo policyIlizuiwa kwasababu maji ni natural resources, na inatakiwa iwe available kwa matumizi mengine (rejea policy za IWRM), sasa assume ikiongezeka issue kama hiyo duh.
Hii kitu sidhan Kama kweli..maana maji ni mengi kuliko kitu chochote hapa duniani..karibu asilimia 75-80 ni maji..nadhan labda walikataa kutokana na kwamba hizo ndinga zingeharibu biashara za watu za mafuta
KweliDunia imejaa mabepari, kuruhusu technology hiyo ni kuua biashara ya gesi na mafuta.
Wangesema maji ya chumvi basi ndio hayaishi lakini maji freshi basi ingekuwa ndo mseo, tayari kupatikana balaa saa ingine.Hii kitu sidhan Kama kweli..maana maji ni mengi kuliko kitu chochote hapa duniani..karibu asilimia 75-80 ni maji..nadhan labda walikataa kutokana na kwamba hizo ndinga zingeharibu biashara za watu za mafuta
Kweli, hata ikitokea genius flani avumbue jinsi ya kutengeneza injini za kutumia maji yoyote iwe chumvi au freshi, basi hatoboi, utasikia ameangamizwa na ugonjwa, mara ajali nkDunia imejaa mabepari, kuruhusu technology hiyo ni kuua biashara ya gesi na mafuta.
Maji sio mengi kama unavyowaza.Hii kitu sidhan Kama kweli..maana maji ni mengi kuliko kitu chochote hapa duniani..karibu asilimia 75-80 ni maji..nadhan labda walikataa kutokana na kwamba hizo ndinga zingeharibu biashara za watu za mafuta
Sio kweli.Kweli, hata ikitokea genius flani avumbue jinsi ya kutengeneza injini za kutumia maji yoyote iwe chumvi au freshi, basi hatoboi, utasikia ameangamizwa na ugonjwa, mara ajali nk
Kweli mkuu, unafikiri serikali au makampuni makubwa ya mafuta yatakuacha pazuri wewe!? 🤣Sio kweli.
So ni mengi Ila ni gharama kuyafanya yawe salama kwa binadamu sio!?Maji sio mengi kama unavyowaza.
Unayoyaona ni gharama kuyageuza kuwa salama kwa matumizi ya binadamu.