Teknolojia ya kumfufua binadamu aliyekufa...

Teknolojia ya kumfufua binadamu aliyekufa...

Wamekwisha shindwa kwani wamesema hawawezi kurudisha mwili, halafu huyo wanayeita mfufuka ni sawa na robot tu!
Lakini Kama wakiwezq kuhamisha akili hii si itakuwa moja ya mafanikio makubwa?
 
Binafsi nnaona wajaribu tu kuliko kukubali kushindwa ,matokeo watakayo yapata hata kama yatakuwa na mafanikio kwa kiwango kidogo watajua warekebishe wapi ktk kuresha zaidi.Hata ugunduzi wa magari tunayo yatumia leo ulianza hivi hivi na kuendelea kuyaboresha mpaka kufikia kiwango kilichopo sasa.

Hapa Nchini kwetu tulikuwa na magari aina ya 'Nyumbu' enzi za utawala wa Mwalimu Nyerere (R.I.P) ,kama tungepata viongozi makini kama yeye nnadhani Leo hii tungekuwa na gari zetu zilizo boreshwa zaidi....
 
Physically wanaweza kumrudisha ingawa pia itachukua muda ,lkn kuirudisha nafsi ile ile (roho) sidhani, maana upande huu hakuna sayansi!
 
Back
Top Bottom