Acha kusema ivo bana wakiweza je hahaha
Science za stem cells, robotics, bionic, AI, genomics, anti - ageing zimeshafika mbali.... miaka 50 ijayo tunaweza kukataa tunayosema leoHawataweza
Swala LA uhai analomuumba tu
Hakuna lolote wanataka kufanya movie za zombie ziwe trueWazungu kwel hawalali muda wote wanafikiria vitu vipya