EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,085
Dunia inazidi kusonga mbele kwa kasi. Japo wanadamu wa kiafrika tupo kama tumesimama huku tu kutazama mwendo wa dunia.
Sina shaka kwamba ajali za pikipikiHii ndio zinaongoza kwa kusababisha vifo vingi Afrika. Kuna teknolojia inakuja itaweza kupunguza vifo teknolojia hii ndio itaweza kuzuia mwendesha pikipiki asiumie pindi anapopata ajali.
Unaweza kutazama na usisahau ku subscribe umeletewa bure na wewe subscribe bure.