EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,085
Nadhani abiria badoAir bag!!! Abiria inakuaje hapo?
washikaji mbona hamsubscribeAir bag!!! Abiria inakuaje hapo?
Usilazimishe mtu asubscribe mwache mwenyewe aamue.washikaji mbona hamsubscribe
haya sawa mkuuUsilazimishe mtu asubscribe mwache mwenyewe aamue.
Jukumu lako ni kutoa content zanye ubora ambao utamvutia mtu asubscribe na sio kumlazimisha.
Abiria nae anaweza kununua ya kwake kama hiyo. Ni kama baadhi ya abiria ambao wanatumia sana bodaboda kiasi kwamba wameamua kununua helmet zao wenyewe.Air bag!!! Abiria inakuaje hapo?