Sina uhakika hizi zimetengenezwaje ila zipo printer zenye uwezo wa ku print Picha yoyote kwenye material Ngumu,Habari wakuu,
Nimekuwa interested na kujifunza teknolojia ya kuprint picha na kuziweka kwenye photo frame za mbao kama inavyoonekana hapo pichani.
Nimejaribu kuomba kufundishwa na watu mbalimbali wanaofanya biashara hii mitandaoni bila mafanikio.
Naomba msaada wa maelekezo, kama kuna online resources nnazoweza kutumia kujifunza teknolijia hii, ikiwemo sehemu ya kupata materials za frame, aina ya printer inayohitajika n.k
Pia kama kuna mdau humu anayeweza kunifundisha kwa gharama nafuu, acomment hapa au aniPM; ntashukuru sana.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Nashukuru mkuu, ila hii niliyokuwa nauliza ni jinsi wanavyoprint kwa printer ya kawaida kwenye aina fulani ya karatasi then wanalibandika kwenye wooden frames.Sio ile direct printing kwenye woodSina uhakika hizi zimetengenezwaje ila zipo printer zenye uwezo wa ku print Picha yoyote kwenye material Ngumu,...
Hio Picha ya huyo Dada ni printer ya kawaida? Labda wa print vipande vipande waunge.Nashukuru mkuu, ila hii niliyokuwa nauliza ni jinsi wanavyoprint kwa printer ya kawaida kwenye aina fulani ya karatasi then wanalibandika kwenye wooden frames.Sio ile direct printing kwenye wood
Ila mimi naona ukiweka picha za watu unaowakubali ni jambo jema pia...Kubandika picha ya mtu ukutani ndani kwangu naonaga UCHURO tu. Mambo ya kizamani hayo. Enzi za Analogia.
Naomba nieleweshe hapa kidogo unaposema jamaa wa sticker sticker kama hizi wanazobandika kwenye magari kama labda mtu kaandika jina lake auHio Picha ya huyo Dada ni printer ya kawaida? Labda wa print vipande vipande waunge.
Uki pata muda tembelea hayo maeneo, it's possible pia kwa hio printer ku print karatasi na kubandika, jamaa wa sticker pia wanatumia hizo.
Ndio hao hao mkuu, kikawaida huwa wananunua majora ya sticker na kukata na viwembe maalumu, ila hizi printer zipo zenye option ya ku design kwenye computer kisha ina print na kukata yenyewe.Naomba nieleweshe hapa kidogo unaposema jamaa wa sticker sticker kama hizi wanazobandika kwenye magari kama labda mtu kaandika jina lake au
Iyo ya kukata na mkono naijua naweza pata hata link ya video ya hiyo printer inayokata yenyeweNdio hao hao mkuu, kikawaida huwa wananunua majora ya sticker na kukata na viwembe maalumu, ila hizi printer zipo zenye option ya ku design kwenye computer kisha ina print na kukata yenyewe.
Kama hii mkuuIyo ya kukata na mkono naijua naweza pata hata link ya video ya hiyo printer inayokata yenyewe
Mkuu maeneo hayo ndio yana printer ama yana studio wanaweza kukuprintia picha za hivyo?Hizo picha wanaita 'picha ya kibao , wana print picha kwenye stika za material tofauti mf. Zipo za vyumba , zipo zinazong'aa kama imemwagiwa unga flani hivi unang'aa sana alafu wanaibandika kwenye kibao kwa mashine maalumu na kwa size tofauti mf A2 , A4 au A0 . Na hizi mashine nyingi zipo Mitaa aliokuelekeza mkuu Chief Mkwawa.
Hii tech iko bomba sana sema itakuwa price ya hiyo printer nayo imechangamkaKama hii mkuu
Ndio bei zake ni kubwa, ila majority ya ninazoziona kkoo ni mtumba, ukiziona tu kwa macho zimechoka.Hii tech iko bomba sana sema itakuwa price ya hiyo printer nayo imechangamka
Yana studio, na studio zao sio fancy ni sehemu za kazi wanazo print kwa jumla.Mkuu maeneo hayo ndio yana printer ama yana studio wanaweza kukuprintia picha za hivyo?
Umesema jirani na big bon kama unaelekea yanga, sio mkuu?Yana studio, na studio zao sio fancy ni sehemu za kazi wanazo print kwa jumla.
Yah si eneo moja, mitaa yote kule Imejaa printers za aina hio,Umesema jirani na big bon kama unaelekea yanga, sio mkuu?