Naomba nichangi maada hii kwa sababu ndio kazi ambayo nilikuwa naifanya miaka ya nyuma,
1.kuhusu kuprinti nilazima uwe na uwezo wa kuchanganya rangi kulingana na mazingira ya picha ilivyo pigwa, yaaani magent cyna na yello,
2.Aina ya machine zinazoprint picha hutofautiana kulingana naukubwa wa picha,mfano machine aina ya NORTSU QS3011 huprint picha zenye ukubwa wa paspot mpaka 4x8,. Hiyo hapo kwenye picha namba moja,
machine nyingine ni EPSON,hizi zimegawanyika kulingana na aina ya kazi unazozitumikisha ambapp huprinti picha ya size ndogo,Tisheti mpaka mabango makubwa, nimeshindwa kuweka picha sababu ya mtandao hauko poa, ila ukihitaji maelezo zaidi nitaendelea kukuelekeza
View attachment 1681899