Teknolojia ya kuprint picha na kubandika kwenye photo frame za mbao

Endele kutupa hiyo idea itakuwa poa sana
 
Mleta thread umeshajifunza tayari?
Kama bado, njoo inbox tuelekezane kwa gharama ya BURE.
Mimi niko kwenye Industry ya printing hata sasa, kwa kifupi hizo picha zina printiwa kwanza, kisha zinawekwa kwenye material maalum na hatua ya tatu zinawekwa kwenye hivyo vibao maalum pia.
Kwa hiyo kwa kuanza hata kama huna uwezo wa kununua kifaa chochote, unaweza kuanza kwa kutafuta tu wateja na kupata picha zao basi, kazi zingine zote zikafanywa na watu wengine wewe ukapata tu faida kulingana na ulivyo patana na mteja
 
Pia ukumbuke picha inavyoonekana kwa Screen ya pc au simu sivyo itakavyotoka ikiwa Printed kwa print sheet pana au refu so ni lazima uwe umepiga/imepigwa (picha) kwa kutumia camera au simu za kisasa zenye kuchukua Photo safi ya quality ya juu sana ndio itoke clear ata ukiitoa wide print.
✌️
 

Mimi bro nataka kujifunza na pia hata nikiweza ni invest kweli maana naona kama naipenda hivi nimekua nafatilia sana haya mambo sasa nataka nijifunze zaid rasmi
 
Mimi bro nataka kujifunza na pia hata nikiweza ni invest kweli maana naona kama naipenda hivi nimekua nafatilia sana haya mambo sasa nataka nijifunze zaid rasmi
Ni rahisi, anza na picha yako au picha zako mbili tatu NZURI kabisa, kisha tumia hizo kutafutia wateja.
 
Mkuu,hizo printer bei gani ? kuna jamaa last month alipost anauza laki 3 na yeye huwa anafanya hiyo kazi
 
Mkuu,tunaomba uweke hapa picha za printer nq bai zake
 
Mkuu,hizo printer bei gani ? kuna jamaa last month alipost anauza laki 3 na yeye huwa anafanya hiyo kazi
Picha za size ya A4 na A3 unaweza kuprint kwa printer hizi za kawaida tu kama epson, hp, canon n.k zenye kutoa quality nzuri ya picha. Printer za A4 ni bei rahisi around laki 4, 5, 6 n.k. za A3 nzuri around milioni 2 za epson.

Kwa picha za size ya A2 na A1, zinatumika large format printer.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…