Mwanachibhira
Member
- Jan 28, 2013
- 43
- 6
hatuzungumzii majina ya chuo
taaluma ndo kila kitu kama we ni prouct ya TEKU ukienda kuomba kazi usiongozane na mtu wa vyuo vingine kama mzumbe,tumaini,UDS, nk otherwise utakosa kazi,Kwa taarifa yako kuna graduaters wa TEKU TRA
Tanzania haina watu walio elimika vya kutosha, hata kuwa na fikra zinazo onyesha Tanzania kuna wasomi. Hapo mabishano yanatokea si wa TEKU wala UDSM anayeonekana anatoa point yenye mwelekeo wa elimu pevu.
Kwani kasema ni wa UDSMUnamanisha nini mkubwa, msiwe na mawazo mgando,mnafikiri chuo ni udsm tuu poleni,me sipo TEKU lakini nakitambua kama University