Teku first year full ng"aeng"ae

Teku first year full ng"aeng"ae

hatuzungumzii majina ya chuo
taaluma ndo kila kitu kama we ni prouct ya TEKU ukienda kuomba kazi usiongozane na mtu wa vyuo vingine kama mzumbe,tumaini,UDS, nk otherwise utakosa kazi,Kwa taarifa yako kuna graduaters wa TEKU TRA
 
Huo ni ushabiki tuu sema watz tunachoangalia ni majengo lakini si ubora wa elimu, kweli TEKU majengo mazuri haina ila elimu hapana chezea, mwalimu wa TEKU na vyuo vingine wana tofauti kubwa sana ulizia.
 
Tanzania haina watu walio elimika vya kutosha, hata kuwa na fikra zinazo onyesha Tanzania kuna wasomi. Hapo mabishano yanatokea si wa TEKU wala UDSM anayeonekana anatoa point yenye mwelekeo wa elimu pevu.

nawe ni mmoja wao. Tanzania
 
Jamani wadau,naombeni kama kuna mtu anajua au ana namba za Mh.RAIS na Mh.Mizengo pinda anitumie plz ni muhimu nahtaji kuongea nao.
 
Back
Top Bottom