Telecom Engineering ni Dili au ni nzur kwa kuisomea kwa xaxa?

Joined
Oct 22, 2013
Posts
38
Reaction score
0
Msaada wenu jaman Nmechaguliwa Telecom Engineering hapo Arusha Tech college bt kuna baadh ya wa2 wamenishauli nibadilishe hii course coz cku hz hain dili eti bt nyie mnanishaur vp bt me nliipenda kwasabab ya maneno yao natak nibadilishe nkaxome Civil Engineering,,,,,bt nko njia panda,,,????
 
hadi hapo hujaonyesha enthusiasm katika unachotaka kufanya, in that case nenda tu civil engineering... stick to your guts, kama u r the best in what u do, it doesnt matter... hata muuza nyanya mtaalamu ana kampuni ya kuuza nyanya na anasambaza anakula mamilioni, but wapo wanaofanya the same business ila they cant grow wanaishia kuuza buku kwa siku..
 

Kila taaluma iko poa kutegemea na fursa zilizopo. Kwangu mimi ukiniuliza, nakushauri fanya Civil Engineering!

Jambo moja mdongo wangu( hii ni off record na off topic) punguza sana lugha za facebook. Unafupisha sana maneno bila sababu za msingi, hii siyo hulka ya Jamii Forums!
 
"xaxa" ndio mdudu gani?.nyinyi watoto wa kizazi cha fb na whatsapp kwanini mnaharibu lugha?.
 

poa nmekuelewa kk bt jinx ya kubadili nasikia ATC ni kazi xana
 

Thnx kk bt nackia jinx ya kubadili ATC n ngumu au?
 
kasome tu uishie kuwa NOC operator kule helios kama maugo
 
Xaxa ww achana na hy kaxome xivil engineerng ndio dil...
 

Xaxa??? Grow up man
 
sijakuelewa vizur nkalime kivipi wkt am not interested na kilimo,,,you are going far kaka jaribu kuwa mstaarabu

yaaani kulima sio ustaarabu? we shule huwezi nenda kalime utuletee matikiti maji buguruni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…