The bump
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 1,488
- 2,908
Naenda wiki sasa Mtandao wa Telegram haufanyi kazi kwangu siingii siwezi kufanya chochote una load tu kama vile sina internet.
nimejaribu simu, computer tofauti ila inakataaa, je Hii ni kwangu tu au na wenzangu pia?
Mnaotumia hamjaona hili kwenu? Kuna namna naweza fanya nitumie?
Msaada kwa mwenye free VPN kwa computer nione labda nitaweza nikibadilisha location.