Telegram inafanya kazi kwenu ndugu zanguni?

H
Naenda wiki sasa Mtandao wa Telegram haufanyi kazi kwangu siingii siwezi kufanya chochote una load tu kama vile sina internet.

nimejaribu simu,computer tofauti ila inakataaa,je Hii ni kwangu tu au na wenzangu pia?

Mnaotumia hamjaona hili kwenu? Kuna namna naweza fanya nitumie?

msaada kwa mwenye free VPN kwa computer nione labda nitaweza nikibadilisha location.
Hata mm ilikuwa inasumbua mpka sasa
 
Tumia proxy itakusaidia, achana na vpn
Screenshot_20240922-074829_Telegram.jpg
 
Kwa urahisi uninstall telegram yako kisha download upya toka google play store. Bot lao litakupigia simu kukupa code, hiyo code ukiweka unapata telegram vizuri. Sasa hv phone verification ni lazima
 
Naenda wiki sasa Mtandao wa Telegram haufanyi kazi kwangu siingii siwezi kufanya chochote una load tu kama vile sina internet.

nimejaribu simu,computer tofauti ila inakataaa,je Hii ni kwangu tu au na wenzangu pia?

Mnaotumia hamjaona hili kwenu? Kuna namna naweza fanya nitumie?

msaada kwa mwenye free VPN kwa computer nione labda nitaweza nikibadilisha location.
Fuatilia huu uzi utapata jibu

Back
Top Bottom