subiri malaika ashuke akuwekeesina software ya vpn mkuu
Tumia hiisina software ya vpn mkuu
Malaya wamegoma, wanataka kuongezewa dau ndiyo maana....si kwako tu bali kwetu wateja wote hali ni hivyo hivyo tu. Kilichobaki hapa ni kupeane pole basi.Naenda wiki sasa Mtandao wa Telegram haufanyi kazi kwangu siingii siwezi kufanya chochote una load tu kama vile sina internet.
nimejaribu simu,computer tofauti ila inakataaa,je Hii ni kwangu tu au na wenzangu pia?
Mnaotumia hamjaona hili kwenu? Kuna namna naweza fanya nitumie?
msaada kwa mwenye free VPN kwa computer nione labda nitaweza nikibadilisha location.
Riseup VPNkwa computer je?