Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si kweliKwanini wamefungia telgram hasa?
Telegram na Fax zilitoweka miaka mingi sana tulipokua tunaenda kutuma barua za haraka TTCL.Kwanini wamefungia telgram hasa?
Sivyo..Kwanini wamefungia telgram hasa?
Le profeseriTelegram na Fax zilitoweka miaka mingi sana tulipokua tunaenda kutuma barua za haraka TTCL.
Mbona kwangu bado inafanya Kazi?Kwanini wamefungia telgram hasa?
Kakamatwa Paris akitokea Azerbaijan. Kesi ipo Ufaransa siyo Israel.🙏🙏🙏Inasumbua baada ya mmiliki wake waisrael wamemkamata nasikia
Ndio hao waisrael wamemkamataKakamatwa Paris akitokea Azerbaijan. Kesi ipo Ufaransa siyo Israel.🙏🙏🙏
Kwanini Mkuu?!Boss yuko jela
Nahisi ni kukithiri kwa videos za ngono.Kwanini wamefungia telgram hasa?
Ugaidi ,inaonesha masela nondo wanatumia mawasiliano na jamaa aliombwa afanye jambo akachomoaKwanini Mkuu?!
Mzee upo dunia ipi?Tuna telegram za mitandao kama what's up. Watu wanazitumia kwa communication na kupiga pesa. Zilikuwa zinakwenda kuchukua soko la dunia na kuwa na thamani kubwa. Figisu kama zote kama bongo tu. Kuharibiana.Telegram na Fax zilitoweka miaka mingi sana tulipokua tunaenda kutuma barua za haraka TTCL.