Pre GE2025 Telegram Messenger ina shida Tanzania hadi utumie VPN

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sahihi. Pia, licha ya awali kuikimbia Urusi nchi yake ya asili; bado baadaye alihusishwa na 'uzalendo' kuwa karibu na Russia na wanahisi alikutana na Putin alipokuwa ziarani Azerbaijan wiki iliyopita.๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
Tatizo langu najiuliza ni nini kilimpeleka France?? Na alitarajia kuwa hawatamuona?
 
Kiasili ni mzaliwa wa Urusi. Akawa na uraia pacha! Urusi alikimbia baada ya kuambiwa asaidie baadhi ya taarifa. Alielekea France. Hapa kati ni kama akili za kizalendo zilimrudia.

Akaenda Azerbaijan ambako Putin alikuwepo...unganisha dot hali ya hivi sasa! ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Kwani hakujua kuwa anatafutwa na hao EU/ NATO allies?
 
Tokea wiki iliyopita mtandao wa teregram haufanyi kazi nimejaribu unstall na kuinstal upya lakini haufanyi kazi je shida ni kwangu tu na kwa wengine
 
Back
Top Bottom