Pre GE2025 Telegram Messenger ina shida Tanzania hadi utumie VPN

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sahihi. Pia, licha ya awali kuikimbia Urusi nchi yake ya asili; bado baadaye alihusishwa na 'uzalendo' kuwa karibu na Russia na wanahisi alikutana na Putin alipokuwa ziarani Azerbaijan wiki iliyopita.πŸ™πŸ™πŸ™
 
Kwanini Mkuu?!
Jamaa baada ya kukimbia Urusi akaenda kisiwa kimoja huko Caribbean akapewa uraia, ila mtandao wake unajua unaficha mengi sana
Ufaransa wakawasema akiingia Kwao wanamkamata na kumfungulia kesi
Akakaidi akaingia Paris, wamemdaka yuko jela anaweza akala mvua nyingi sana
Na pesa anayo sana Kama $15.5b sio mchezo
 
Kwangu iko vizuri natumia bila VPN na natambaa nayo km kawaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa wale wanaotumia telegram kwenye site za x, kununua malaya lazima igome

Kwa wale wanaofanya contact kawaida haina shida
 
Hivi Elon Musk nae atatoboa?
Jamaa ana hela sana aisee
Akiamua kuzila kila siku $1m basi itamchukua miaka 673 kuzimaliza πŸ˜„
Ila ndio billionaire pekee aliekula hasara zaidi mwaka huu
Ingawa bado linaongoza kwa utajiri
Atatoboa sana tu
 
Nilikuwa namsikia akiwaambia Advertisers "...go and F*** yourselves..." 😐 nikasema huyu jamaa kauchoka utajiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…