Sasa hivi serikali inaweza kutunga kesi ya uongo kwamba wanakuchunguza ili wapate access ya details zako telegram.
Sasa hivi mtandao pekee naouamini ni Twitter ya Elon Musk. Yeye alishasema wazi kwamba maombi ya kidwanzi hakubaliani nayo na maombi yoyote kuhusu mtumiaji lazima mtumiaji atajulishwa kama taarifa zake zimeombwa na zimeombwa na nani na kwa sababu gani.
Elon amesema hata wakimuwekea bunduki kichwani hawezi kutoa taarifa za mtumiaji isipokua kwa mujibu wa sheria na lazima mtumiaji ajulishwe taarifa zake zimeombwa na mamlaka flani.
Wakuu kama unataka privacy, hamia X.