Telegraphic Transfer

Telegraphic Transfer

Amalinze

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2012
Posts
6,780
Reaction score
5,305
inachukua mda gani kutuma T/T kwenda japan? Maana nilituma j4 mpaka sasa haijaenda nkicheck salio halijakatwa,nikifatilia bank wanasema branch nliotuma T/T sio branch yangu so mpaka wawasiliane na branch yangu kwa ajili ya kuhakiki sahihi ndio siku 4?
 
sasa we we jamaa na we we...c umeshaulza wahusika jaman,ungeendelea kukaa nayo huko huko....sasa unataka wana jamvi tusemeje???? sasa.....
 
Huo ni uswahili. Benki gani hiyo mkuu?! T/T inakamilika in just a day. Na it does not matter from which branch.
 
da hiyo bank mbona magumashi??TT ni express the maximum time inaweza kuwa One day tu kukamilika
 
Jamaa wa Japan ndio ame confirm leo kama amepata T/T
 
da hiyo bank mbona magumashi??TT ni express the maximum time inaweza kuwa One day tu kukamilika

da hiyo bank mbona magumashi??TT ni express the maximum time inaweza kuwa One day tu kukamilika

Yap ni kweli one day kutuma T/T nimeshangaa kwanini hii bank imechukua mda mrefu,ila wamenifurahisha kutuma T/T ni USD55 tu sema dollar yao rate ipo juu haya mambo ya ujambazi tunahofia ku-move na mzigo kwenda Kuchange maana unaweza ukakutana na wazee wa kazi nje ukitoka bora tumalizane humo humo ndani
 
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha hilo neno mkuu kuliko kupoteza madolali yako ya maana uliyasotea kuyapata bora ugharimike vishilingi vodogo ili kulinda mzigo mkubwa boss ni wazo zuri sana
 
Nimeshangaa NMB wanachukua siku ya sita leo pesa haijatumwa hapo SA,inakuwaje?Mpaka sasa supplier ananiambia atauza mzigo kwa mtu mwingine.
 
Nimeshangaa NMB wanachukua siku ya sita leo pesa haijatumwa hapo SA,inakuwaje?Mpaka sasa supplier ananiambia atauza mzigo kwa mtu mwingine.
HAMA BANK MKUU MI NATUMIA SANA MARA NYINGI NIC BANK KUTUPA PESA CHINA SI WABABAISHAJI NDANI YA SIKU TU INAKUA INAFIKA NA KWA GHARAMA NDOGO.
 
mi nimeshatuma na crdb mara mbili.. next day supplier anaona hela fasta... ila rate zao za usd zinakuaga juuu sana..

ila ku move na hela risk sana.. so tunanunua tu hiyo hiyo rate yao ndani ya bank
 
mi nimeshatuma na crdb mara mbili.. next day supplier anaona hela fasta... ila rate zao za usd zinakuaga juuu sana..

ila ku move na hela risk sana.. so tunanunua tu hiyo hiyo rate yao ndani ya bank

Next time nenda azania wako smart tofaut na crdb ingawa azania wanatoza dola 50 kama charges zao plus dola 10 kama hauna account na dola 5 excise duty jumla ya tozo zao ni dola 65 ila uzuri wake dola unanunua bureau de change
 
Je nikifanya transactions ya TT 22500USD unakatwa USD ngapi?
 
Back
Top Bottom