Amalinze
JF-Expert Member
- May 6, 2012
- 6,780
- 5,305
inachukua mda gani kutuma T/T kwenda japan? Maana nilituma j4 mpaka sasa haijaenda nkicheck salio halijakatwa,nikifatilia bank wanasema branch nliotuma T/T sio branch yangu so mpaka wawasiliane na branch yangu kwa ajili ya kuhakiki sahihi ndio siku 4?