da hiyo bank mbona magumashi??TT ni express the maximum time inaweza kuwa One day tu kukamilika
da hiyo bank mbona magumashi??TT ni express the maximum time inaweza kuwa One day tu kukamilika
Yap ni kweli one day kutuma T/T nimeshangaa kwanini hii bank imechukua mda mrefu,ila wamenifurahisha kutuma T/T ni USD55 tu sema dollar yao rate ipo juu haya mambo ya ujambazi tunahofia ku-move na mzigo kwenda Kuchange maana unaweza ukakutana na wazee wa kazi nje ukitoka bora tumalizane humo humo ndani
HAMA BANK MKUU MI NATUMIA SANA MARA NYINGI NIC BANK KUTUPA PESA CHINA SI WABABAISHAJI NDANI YA SIKU TU INAKUA INAFIKA NA KWA GHARAMA NDOGO.Nimeshangaa NMB wanachukua siku ya sita leo pesa haijatumwa hapo SA,inakuwaje?Mpaka sasa supplier ananiambia atauza mzigo kwa mtu mwingine.
mi nimeshatuma na crdb mara mbili.. next day supplier anaona hela fasta... ila rate zao za usd zinakuaga juuu sana..
ila ku move na hela risk sana.. so tunanunua tu hiyo hiyo rate yao ndani ya bank