Television ya taifa (TBC1) na Timu ya taifa (taifa stars)

Mavella

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
459
Reaction score
76
Tbc1 ni kwanini huwa wakati timu ya taifa (taifa stars) inacheza inashindwa kuonyesha live mechi zake nashangaa nchi zote zinazo tuzunguka huwa timu yao ya taifa ikicheza lazima television ya taifa husika ionyeshe mechi live hata kama pay tv zinaonyesha lakini hapa kwetu ni tofauti kwa mfano leo tunavyocheza na uganda utakuta Ubc wanaonyesha vilevile kenya kbc wataonyesha mfano mwengine siku zote bafana bafana ikicheza lazima SABC ionyeshe wakati huohuo supersport inaonyesha hata katika ligi ya south africa au kenya television ya taifa kuna mechi wanainyesha angalau moja kwa wiki.
je kwanini hapa kwetu inakuwa tofauti?
 
TBC wana allergy na taifa stars na soka kwa ujumla
 
TBC wana allergy na taifa stars na soka kwa ujumla
 
Uzalendo haupo kwenye michezo
 
Sasa hivi tupo live Simiyu Mzalendo namba Moja anatoa Darsa Mujarrab Kwa waliokataa Bajeti
 
Ungeona wanavyokatika katika kwenye mikutano yao wanayorusha na quality ya picha zao usingetamani wakuonyeshe mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…