Television ya taifa (TBC1) na Timu ya taifa (taifa stars)

Television ya taifa (TBC1) na Timu ya taifa (taifa stars)

Watakupa motto 'uzalendo ni kupenda vya nyumbani' wakati hata kuonyesha timu yao inacheza wanashindwa, watakuonyesha mwita analamba matapishi, watakuonyesha mtatiro anatongozwa na polepole
 
Kuna free kick mbili zimepigwa na Samata, nilikuwa ndani hakika, kipa alitulia tu ila zote zimetoka nje just nchi, pia sekunde hii tumekosa goli la wazi, Samata.
 
Kuna free kick mbili zimepigwa na Samata, nilikuwa ndani hakika, kipa alitulia tu ila zote zimetoka nje just nchi, pia sekunde hii tumekosa goli la wazi, Samata.
Duh hii mechi si wala ya kupoteza magoli hivyo . Tuombe tu
 
Ulimwengu anatolewa kwa machela, lakini inaonekana hajaumia sana.
 
Ulimwengu machela tena. Bado dk 1 nill nill
 
Back
Top Bottom