Television yako sebuleni kwako nyumbani kwako

a sinner saved by Christ

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
4,014
Reaction score
4,600
Jengo la nyumba yako ni nyumba ya ibada ,Sebule yako sitting room ni madhabahu,
Bed room yako na kitanda chako ni madhabahu.
Wewe mwenyewe mwili wako ni nyumba ni hekalu na nafsi yako pua ni madhabahu.

MADHABAHU ndio kiti cha enzi cha kiroho kinachotoa chemi chemi za uhai, uzima ama kinyume chake kutegemeana.

MAISHA yana pande mbili tu UZIMA ama MAUTI ,giza ama nuru,dhambi ama utakatifu,

1)SEBULE YAKO kama madhabahu na mbele ya ukuta wa sebule yako umeweka Television inayorusha maudhui mafundisho mahubiri kwa familia yako(itatoa mahubiri ya aina moja katika hizi ama NURU vs Giza,dhambi vs utakatifu,uzima vs mauti.

na hayo NENO mahubiri katika madhabahu ya nyumba yako sebuleni ndiyo yatakayoujaza na moyo wako ..neno unalolojifunza kila siku mahubiri kama ni ya kishetani,sinema,video,miziki,kwaya ,mahubiri,katuni,violence,nudity,tamthilia,..je zinamtukuza nani MUNGU ama Shetani..ibada yako ni ya Mungu ama shetani..
na hiyo ibada ndiyo itakayoujaza moyo wa watoto wako..

TV television ni mwalimu tosha kwa familia yako na watoto wako..WANAJIFUNZa KUPUTIA TIVII na umewalipia kingamuzi..ibada hiyo .

2)MOYO WAKO..je moyo wako umeujaza nini?unaulisha mafundisho gani..moyo wako ndiyo madhabahu ya hekalu la mwili wako..
MOYONI mwako umejaza nini,chuki,kinyongo,hasira,wivu,husuda,uzinzi tamaa mbaya za mwili,mawazo mabaya,uwongo,n.k

ama umejaza kwa wingi neno la Mungu.
moyoni mwako ndiko zinakotoka chemi chemi za uzima ama mauti kadiri ya moyo wako ulivyoujazA.

watoto wako wanajifunza nini..kupitia television wanazotazama na miziki unayosikiliza nyumbani kwako

View: https://youtu.be/s7t5HWYYxoU?is=oxnHVSNKQddt15H4
 
Kwahiyo kila kitu ni madhabahu!?
 
Kwahiyo kila kitu ni madhabahu!?
Wewe mzazi ni kuhani ni mchungaji katika familia yako...Mungu amekupa dhamana ya wewe kuwa angazia nuru kuwafundisha kumcha Mungu hao watu wa nyumbani kwako familia yako..

Katika famili nyumba ni kama hekalu nyumba ya ibada ,wewe mzazi kuhani/mchungaji.
Sitting room sebuleni ni madhabahu mbele kabisa ya madhabahuni patakatifu pa nyumba yako ndiyo umeweka television na nyie wote waumini mumekaa sebuleni mnatazama na kusikiliza kile TELEVISION kina wahubiria ,you may think it is ana intertainmnent mnacheka na kufurahia kutazama television kama burudani.

LAKINI ADUI yule aliyeandaa hayo maudhui ya yanayorushwa na television ya familia iliyopo mbele ya ukuta wa sebule yenu ambapo kila mwanafamilia anatazama mnapokutana pamoja kwa umoja wa wanafamilia ana lengo lingine la kuoenyeza mafundisho yake ..NI IBADA KAMILI
.mume mpa ADUI aongoze IBADA ya familia na kuleta mafundisho yake ya kishetani kwenye madhabahu yenu ya familia HIYO ni ibada.
unaweza ukaifanya madhabahu yako imtukuze MUNGU.

2.Wewe mwenyewe huu mwili wako ni NYUMBA ama makazi ama kiti...je mwili wako huu ni kiti cha ufalme upi wa giza ama nuru
wa UZIMA ama kuzimu mauti.

Mizimu,mapepo ,waganga wa kienyeji na majini nayo yanaweza kukaa ndani yako yakakufanya mwili wako kama KITI(si wote tunafahamu kuna watu wanakaliwa miili yao na majini/mapepo ..na kuna watu wanayaalika mapepo ndani ya miili yao kwa kuweka maagano matambiko na makafara kupitia kuchanja chale,kuvaa mapete ya majini,mabangili,kutoa makafara kwa washirikina waganga wa kienyeji,mizimu,manabii wa uongo,uzinzi,uasherati,pombe ,ngono,na kile unachotazama na kusikiliza ,kula kunywa n.k

na kuna watu wa Mungu ambao miili yao inakaliwa na roho wa Mungu roho mtakatifu,watu wacha Mungu.

MOYO WAKO...moyo ndiko kunakotoka chemichemi uzima ama mauti kadiri moyoni mwako na akilini mwako umejaza nini
je umejaza moyonwa ibada na mawazo safi moyo safi..ndiyo na matendo yako kwa nje yata akisi kile kilichomo ndani yako
hata maneno yako..
na kinyume chake.

Kitanda chako unacholala ni madhabahu...ndipo unapotumia muda mwingi wa usiku ukiwa umelala mwili lakini roho yako iko conscious ndipo unapopata ujumbe kuwasiliana kiroho na MUNGU kupitia ndoto

ama kuwasiliana na roho chafu hata kufanya maagano na maroho ya kuzimu mizimu hata wachawi kukuwangia ama majini na mizimu

Madhabahu inaweza kuwa ya aina moja kati ya hizi tu kati ya hizi mbili ya GIZA ama NURU ,MUNGU ama Shetani,

BEDROOM chumba cha kulala ni sehemu ya ndani zaidi ya kiroho na nyeti ni madhabahu kubwa ifanye iwe na uwepo wa nguvu za Mungu
na isiwe shamba la wachawi kukuwangia na majini kukuchezea na mizimu na kuota mandoto unazini na majini uliyofunga nayo ndoa ndotoni ..KITANDA kiroho..ni madhabahu kubwa sana.
 
.
 
Attachments

  • 481955_272429746203286_1222199978_n.webp
    481955_272429746203286_1222199978_n.webp
    27.5 KB · Views: 20
  • images - 2026-03-15T201143.311.jpeg
    images - 2026-03-15T201143.311.jpeg
    16 KB · Views: 23
  • images - 2026-03-15T201017.535.jpeg
    images - 2026-03-15T201017.535.jpeg
    44 KB · Views: 25
  • images - 2026-02-28T224621.482.jpeg
    images - 2026-02-28T224621.482.jpeg
    55.1 KB · Views: 22
  • images - 2026-02-28T224600.314.jpeg
    images - 2026-02-28T224600.314.jpeg
    35.6 KB · Views: 21
  • images - 2026-02-28T224529.667.jpeg
    images - 2026-02-28T224529.667.jpeg
    5.6 KB · Views: 21
  • images - 2026-02-28T224519.300.jpeg
    images - 2026-02-28T224519.300.jpeg
    21.3 KB · Views: 28
  • images - 2026-02-14T170711.515.jpeg
    images - 2026-02-14T170711.515.jpeg
    52.3 KB · Views: 21
  • 2024689_univ_cnt_1_xl.jpg
    2024689_univ_cnt_1_xl.jpg
    574.6 KB · Views: 24
  • images - 2026-02-14T170621.671.jpeg
    images - 2026-02-14T170621.671.jpeg
    42.2 KB · Views: 21
  • images - 2025-08-24T231904.835.jpeg
    images - 2025-08-24T231904.835.jpeg
    30 KB · Views: 17
  • images - 2025-08-24T232437.196.jpeg
    images - 2025-08-24T232437.196.jpeg
    17.6 KB · Views: 19
  • image-asset.jpeg
    image-asset.jpeg
    230 KB · Views: 24
  • images - 2025-08-24T233010.522.jpeg
    images - 2025-08-24T233010.522.jpeg
    10.5 KB · Views: 20
  • images (19).jpeg
    images (19).jpeg
    10.1 KB · Views: 19
  • images (23).jpeg
    images (23).jpeg
    11.7 KB · Views: 17
  • images (24).jpeg
    images (24).jpeg
    24.8 KB · Views: 21
  • images (20).jpeg
    images (20).jpeg
    21.9 KB · Views: 16
.
 
Attachments

  • 2020_07_30_15_29_IMG_8135.JPG
    2020_07_30_15_29_IMG_8135.JPG
    9.5 KB · Views: 22
  • 2020_07_30_15_28_IMG_8133.JPG
    2020_07_30_15_28_IMG_8133.JPG
    21 KB · Views: 22
  • images (21).jpeg
    images (21).jpeg
    9.6 KB · Views: 17
.
 
Attachments

  • images - 2026-03-21T024446.148.jpeg
    images - 2026-03-21T024446.148.jpeg
    34.2 KB · Views: 22
  • images - 2026-03-21T024340.284.jpeg
    images - 2026-03-21T024340.284.jpeg
    29 KB · Views: 17
  • images - 2026-03-21T024038.622.jpeg
    images - 2026-03-21T024038.622.jpeg
    44.3 KB · Views: 20
  • images - 2026-03-21T023937.508.jpeg
    images - 2026-03-21T023937.508.jpeg
    50.4 KB · Views: 21
  • images - 2026-03-21T023826.704.jpeg
    images - 2026-03-21T023826.704.jpeg
    39.9 KB · Views: 25
JESUS CAN TURN YOURS HOUSE INOT A HOME.
 
Attachments

  • images (17).jpeg
    images (17).jpeg
    25.9 KB · Views: 18
  • images (18).jpeg
    images (18).jpeg
    40.8 KB · Views: 15
Wewe mzazi ni kuhani ni mchungaji katika familia yako...Mungu amekupa dhamana ya wewe kuwa angazia nuru kuwafundisha kumcha Mungu hao watu wa nyumbani kwako familia yako..

Katika famili nyumba ni kama hekalu nyumba ya ibada ,wewe mzazi kuhani/mchungaji.
Sitting room sebuleni ni madhabahu mbele kabisa ya madhabahuni patakatifu pa nyumba yako ndiyo umeweka television na nyie wote waumini mumekaa sebuleni mnatazama na kusikiliza kile TELEVISION kina wahubiria ,you may think it is ana intertainmnent mnacheka na kufurahia kutazama television kama burudani.

LAKINI ADUI yule aliyeandaa hayo maudhui ya yanayorushwa na television ya familia iliyopo mbele ya ukuta wa sebule yenu ambapo kila mwanafamilia anatazama mnapokutana pamoja kwa umoja wa wanafamilia ana lengo lingine la kuoenyeza mafundisho yake ..NI IBADA KAMILI
.mume mpa ADUI aongoze IBADA ya familia na kuleta mafundisho yake ya kishetani kwenye madhabahu yenu ya familia HIYO ni ibada.
unaweza ukaifanya madhabahu yako imtukuze MUNGU.

2.Wewe mwenyewe huu mwili wako ni NYUMBA ama makazi ama kiti...je mwili wako huu ni kiti cha ufalme upi wa giza ama nuru
wa UZIMA ama kuzimu mauti.

Mizimu,mapepo ,waganga wa kienyeji na majini nayo yanaweza kukaa ndani yako yakakufanya mwili wako kama KITI(si wote tunafahamu kuna watu wanakaliwa miili yao na majini/mapepo ..na kuna watu wanayaalika mapepo ndani ya miili yao kwa kuweka maagano matambiko na makafara kupitia kuchanja chale,kuvaa mapete ya majini,mabangili,kutoa makafara kwa washirikina waganga wa kienyeji,mizimu,manabii wa uongo,uzinzi,uasherati,pombe ,ngono,na kile unachotazama na kusikiliza ,kula kunywa n.k

na kuna watu wa Mungu ambao miili yao inakaliwa na roho wa Mungu roho mtakatifu,watu wacha Mungu.

MOYO WAKO...moyo ndiko kunakotoka chemichemi uzima ama mauti kadiri moyoni mwako na akilini mwako umejaza nini
je umejaza moyonwa ibada na mawazo safi moyo safi..ndiyo na matendo yako kwa nje yata akisi kile kilichomo ndani yako
hata maneno yako..
na kinyume chake.

Kitanda chako unacholala ni madhabahu...ndipo unapotumia muda mwingi wa usiku ukiwa umelala mwili lakini roho yako iko conscious ndipo unapopata ujumbe kuwasiliana kiroho na MUNGU kupitia ndoto

ama kuwasiliana na roho chafu hata kufanya maagano na maroho ya kuzimu mizimu hata wachawi kukuwangia ama majini na mizimu

Madhabahu inaweza kuwa ya aina moja kati ya hizi tu kati ya hizi mbili ya GIZA ama NURU ,MUNGU ama Shetani,

BEDROOM chumba cha kulala ni sehemu ya ndani zaidi ya kiroho na nyeti ni madhabahu kubwa ifanye iwe na uwepo wa nguvu za Mungu
na isiwe shamba la wachawi kukuwangia na majini kukuchezea na mizimu na kuota mandoto unazini na majini uliyofunga nayo ndoa ndotoni ..KITANDA kiroho..ni madhabahu kubwa sana.
Amen.
 
IBADA ni total way of your life each second of your life
IBADA ni mjumuisho wa kila sekunde ya maisha yako ,na sio ule muda mchache tu unapokuwa kanisani.
Maisha yako yote kila sekunde ya maisha yako chichote unachotenda kufikiri,kutazama,kusikiliza ,kunena,kula na popote utakapokuwa ni ibada either upande wa NURU ama GIZA kwa Mungu ama shetani,UZIMA ama mauti.

Kuanzia nyumbani IBADA INAANZIA NYUMBANI inajidhihirisha nje ya nyumba yako

haiwezekani ukiwa mbele ya kanisa unaigiza kama malaika ukirudi nyumbani kwako unakuwa shetani halisi.
 
Back
Top Bottom