jikuTech
Senior Member
- Apr 9, 2023
- 108
- 159
Tasnia ya Tehama ni kipengele ambacho kina lipa na wala sio siri , Tatizo kubwa kwa mtu mmoja mmoja linakuja pale anapo gundua anatakiwa kuwekeza muda zaidi ili jambo flani kukaa sawa.
Wakati unaanza kuhangaika na TEHAMA taswira ya kuanza kunufaika inakuwa mbali sana.
Kuna picha nyingine imejengeka kwenye jamii inawaona watu wanao hamasisha TEHAMA kama matapeli.
Watu hawaaminiani , kila mtu anashughulika kivyake , ikiwepo hoja watu wanakosoa sana na haweki hoja zao wanazo ona zinaeleweka , ubinafsi ni mwingi .
Kiasi yule mtu mwenye nia ya kweli na uzalendo katika kufanya kitu kwenye tehama anachanganyikiwa kwamba ni kipi ambacho ni sahihi sasa.
Tema Tanzania - Tehamageuzi Tanzania ni umoja ambao upo kuthaminisha Tehama kwenye jamii ya Tanzania na Ku mpa nguvu mwenye mawazo yoyote kwenye Tehama ndani ya nchi.
Kupitia umoja huu unaweza kusogea mahali flani au unaweza timiza malengo yako kabisa , kwa kukutana na wataalamu na watu wengine watakao kupa changamoto za kukukomaza katika hili
Umoja huu unataratibu chache ili kujuja mbivu na mbichi kwa wewe mwenyewe unafahamu uwepo wa vijana wa ovyo kila kona kwenye mitandao , na hivyo kwa yule ambaye elimu yake haifafikia kuelewa sheria hizo, jambo hili linakuwa halimuhusu
Wanahitajika watu wanaoweza kuwa na mawazo chanya kuhusu tehama ndani ya nchi yetu tu.
Amna gharama yoyote ya kujiunga
Bonyeza kiungo hapo chini ili kujisajili
Tema Tanzania