Tembea Ujifunze...

Kipenseli

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2020
Posts
825
Reaction score
1,074
Waswahili wanasema mkaa bure sio sawa na mtembea bure. Hii Ni moja Kati ya misemo yenye maudhui sana.

Moja Kati ya Maana zake ikimaanisha kuwa kuzunguka katika sehemu mbalimbali katika ulimwengu huu kunaweza kukufanya Ujifunze Kitu fulani.

Je, Tangu Uanze kuzunguka katika sehemu mbalimbali humu ulimwenguni ni kipi ulichowahi kujifunza kuthibitisha huu msemo?

Binafsi sikuwahigi kuamini ile biashara ya take away kwa wadada

Sikuwahi kuamini kuwa kuna sehemu watu hawana kabisa imani za kidini.

Na Mengineyo ya kustaajabisha
 
Wengine tumejifunza mengi

Kuna baadhi ya incidence tukizileta humu
Dunia inaweza kuraruka vipande vipande

lete basi [emoji23][emoji23][emoji23]tuone dunia inavyoraruka
 
weee [emoji23][emoji23][emoji23]malizia tu
Nikisha zitaja hapa then dunia ikararuka vipande vipande .. Sinita wapoteza nyie ndugu zangu jamani

Mnataka hapa jf nibaki peke yangu eeh!!!?
 
Nikisha zitaja hapa then dunia ikararuka vipande vipande .. Sinita wapoteza nyie ndugu zangu jamani

Mnataka hapa jf nibaki peke yangu eeh!!!?
utabaki na mimi
 
Wajua sitaki kukukosa " kabisa mimi "khaaa ukikufa wewe nitaishije '? Sasa
Amna incidence yoyote ya ajabu watu tumeshuhudia jamii ya Cannibals wanakula watu wanatoa utumbo tu wanapewa Mamba mbupu zinachomekwa stick kama mishkaki inarostiwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…